Mbona ni kanisa hilo hilo katoliki ndio lilituambia Kikwete ni chaguo la mungu! je wameshawahi kuwaomba radhi Watanzania kwa mateso wanayoyapata kutoka kwa chaguo la mungu?
EL alishiriki harambee ya kanisa katoliki nyakato mwanza ambapo askofu wake ni Rwaichi (rais wa TEC), hii imekaa kama tamko binafsi la Askofu Nzigilwa
Ni Vyema ukirudi Darasani ukasome tena Kiswahili.
Pia katafute Gazeti Tumaini Letu, au Piga Simu Radio Tumaini watakuwa na habari kamili.
Askofu amekataa kuwa hawawezi katika shughuli kama hii kumpa mwaliko kongozi yeyote wa Kisiasa. NDIVYO ALIVYOSEMA KAMA KUNA MENGINE MIMI SIJUI.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la DSm (Askofu Nzigilwa) amesema kuwa "Kanisa Katoliki halijamualikwa Mh. E. Lowasa katika Harambee ya kuchangisha pesa kwa ajili ya sherehe za Uzinduzi wa Jimbo Katoliki la Ifakara kama ilivyoripotiwa hapo awali.
Askofu Nzigilwa aliyasema hayo alipokuwa akijibu shwali toka kwa mmoja wa viongozi wa Parokia walioshiriki katika kikao cha pamoja cha Tathimini ya Mavuno 2011, Msimbazi Centre DSM.
MY TAKE: TUNASHUKURU SANA KANISA KATOLIKI KWA KULIONA HILI na viongozi wa kanisa Katoliki kwa kupitia mada zetu hapa JF. Hongera pia kwa kiongozi aliyeuliza hilo swali kuhusu mwaliko wa Mh. E. L kanisani kwa moyo wako wa ushujaa.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Kuna viongozi wa kanisa walikwenda kufanya uzinduzi wa kitabu cha mke wa EL mara baada ya kujiuzuru uwaziri mkuu. Tunafikiri ilitokea tu au ilikuwa ni kuonyesha ulimwengu huyu tuko naye pamoja?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/27230-mke-wa-lowassa-azindua-kitabu-8.html
Mbona ni kanisa hilo hilo katoliki ndio lilituambia Kikwete ni chaguo la mungu! je wameshawahi kuwaomba radhi Watanzania kwa mateso wanayoyapata kutoka kwa chaguo la mungu?
Kwa sasa huyo Askofu anakula matoke KILAINI huko kwao Kagera,Dar anaisikia tu kama anavyoisikia Roma!!Alieyasema hayo tayari amechukuliwa hatua za kikanisa na ulikuwa msimamao wake bianafsi na si kauli rasmi ya akanisa.......au ushawahi kumsikia au kumuona Dari Salama(Safe Roof)?
Ushujaa unaoongelewa hapa ni ule wa kulitetea kanisa, ujasiri wa kuona ni kwa jinsi gani kanisa litajichafua kwa Hela itakayotolewa na Mheshimiwa huyu! Hureeeee Maaskofu kwa kumtosa!Kweli mashujaa wamekwisha, ina maana mtu kuuliza swali kanisani ni ushujaa!!??
Kufanya makosa si kosa, Kosa ni kurudia makosa!Mizambwa wanasema mambo ya kanisa katoliki tuyajadili wakatoliki wenyewe na kuyamaliza ndani.. hongera kwa aliyeuliza swali. lakini hili tatizo inamaana hawakuliona siku zote hizo? EL alishiriki harambee ya kanisa katoliki nyakato mwanza ambapo askofu wake ni Rwaichi (rais wa TEC), hii imekaa kama tamko binafsi la Askofu Nzigilwa
HAIJALISHI KITU KUALIKWA AU KUTO ALIKWA NI MKRISTU WA LUTHERAN ANAWEZA KUCHANGIA HARAMBEE TU LKN ISIWE YA MASHARTI TU.:decision:Alieyasema hayo tayari amechukuliwa hatua za kikanisa na ulikuwa msimamao wake bianafsi na si kauli rasmi ya akanisa.......au ushawahi kumsikia au kumuona Dari Salama(Safe Roof)?
si kweli​Alieyasema hayo tayari amechukuliwa hatua za kikanisa na ulikuwa msimamao wake bianafsi na si kauli rasmi ya akanisa.......au ushawahi kumsikia au kumuona Dari Salama(Safe Roof)?
Kwasasa TUNAONGELEA kupokea michango ya Lowassa!