Kanisa Katoliki DR Congo lasema mapadri wake wako hatarini

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
10,419
Reaction score
17,765
maeneo ya kivu, goma etc
Mapadri wanashambuliwa kwa mapanga na kuuwawa na watu wasiojulikana.
wengine wanatekwa na watu kudai fidia ili waachiwe.
Mwingine kapingwa risasi.Gunmen kill parish priest in eastern Congo after Sunday Mass

Katika maombi yetu ya amani kwa tanzania. Tusiisahau Congo ambapo watu wasiojulikana wamefikia hatua ya kushambulia viongozi wa dini ambao ni wadau wa amani.
 
Mapdri ni watu wa kuchoma kabisa naishia hapa
Ee Mwenyezi Mungu naomba umtendee naye huyu kiumbe kadri alivyo hukumu wengine' si mapenzi yangu' Mungu Baba mwenye mamlaka naomba umtendee kadri ya kipimo chake. Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…