chilambo chavanuvanahe
Member
- Jul 12, 2017
- 10
- 12
Wakuu nina mgogoro wa nafsi hapa naona bora niwashilikishe kwa mawazo yenu.
Mchumba/kidoshodosho wangu kanikwaza kweli leo.Tulisafiri wote kutoka Mtwara kuja Dar na basi ya tashrif.Tulipanga mengi ambayo tutayafanya tukiwa safarini ili kufanya penzi letu liwe mubashara hadi nilishikwa na mchecheto na kumlipia na nauli.Nilichokishuhudia baada ya kuanza safari ndo kimenileta kwenu wakuu hapa,ile tumetoka hata mikindani hatujafika kwa wenyeji nahisi mnaelewa alidondosha usingizi pono anasingiziwa nilimuacha labda nilijua uchovu wa jana na kazi za kwao lakini hadi lindi hollah hajaamka, tulivyofika kilanjelanje bado anambonjika tu namuamsha anachokisema hakieleweki,tumefika hotelini starcom-Nangurukuru nimenunua mapochopocho ili nikajichane na mtoto et kula akagoma anasema akila njiani anatapika daah wakati aliniahidi hadi kunilisha.Kidume nikafakamia menu ya wawili hadi imeisha yeye ni analala tu hadi nimeshuka mbagala sijaambulia chochote zaidi ya mimate yake iliyokuwa yamchuruzika alivyolala. Hata stori hatujapiga safari yote daaah!!,hapa najiuliza kwanini aliniaminisha yote yale?,nidai nauli yangu au nivunje bond kabisa?.
Ushauri wenu tafadhali
Ww shida si upewe papuchi Au?Wakuu nina mgogoro wa nafsi hapa naona bora niwashilikishe kwa mawazo yenu.

Nashangaa kabisa huyu ni mtu wa aina ganii, analalamika mtu kulala usingizi kweli..!!!!!!!Wavulana mna vituko siku hizi.
Ana kisirani kama mwanamke mjamzito huyoNashangaa kabisa huyu ni mtu wa aina ganii, analalamika mtu kulala usingizi kweli..!!!!!!!
sasa usingizi tu umemfanya achafuke nini sijui sasa hyo ndoa ataiweza, ama kweli.
ukute na yeye anajiita mwanaume uko aliko....aiseee!Ana kisirani kama mwanamke mjamzito huyo
Ana kisirani kama mwanamke mjamzito huyo
Mvulana huyo..ukute na yeye anajiita mwanaume uko aliko....aiseee!
Kwa hili la huyu,nigawe tu yaani.hahahahaha shost nakugawa !amenikera sana !