Kaniacha bila sababu

Mpeleke kwa Baba Askofu. Nyie si ndio wale wenye kutubu kwa binadamu wenzenu.
 
Hiyo theory ya kusubiriana mi siwezi. Pole sana, wenzio walikuwa wanakula kwa chumvi akati ww unasubir aive.

ndo kwanza miaka 18 mwanaume unajidanganya kusubiri ndoa, haki yake kusepa
 
Nafanya Kaz Sisomi

kazi ipi? maana kazi za watoto kama wew zinajulikana kuwa ni " light works"

kisheria zinajulikana na mishahara yao ni midogo vip iyo hela unayolalamika kumpa ulikuwa unaitoa wap? au unalalamikia elfu 10?
 
Tatizo.liko.hapo kwenye kusubiriana.mpk ndoa.wakat mwenzio ana migenye
 

Eti bila sababu wakati hii ni sababu
 
Sasa mbona sababu umeitaja mwenyewe?
 
kumbe wewe ndio mama na mtoto wana kutaka?
 

Mapenzi ya below 20 ndio yalivyo, kwa ujinga wako utaendelea kuachwa mpaka wafikie 6 ndio utapata mke.

Kwa sasa endelea kuwa na wapenzi wa kwenye simu2:sly:

Wenzio wanakula ww eti unasubiri mpaka ndoa, pole sana! Unaonekana ni mzembe na hujitambui???

Nakuhakikishia kuwa wakati ww uko nae kuna jamaa walikuwa wanamtafuna vzuri sana!
 
Mpende akupendae, asokupenda achana nae. Hasara roho, pesa makaratasi.
 
ukisema amekuacha bila sababu unakosea ujue???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…