Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
.........ya kadhi!!
hata kichwa hujawahi kuingiza ??????
Siku hizi hakuna biashara ya kusubiri embe liive mtini, wenzako tunakula na chumvi!!!!
Habarini za leo, poleni na majukumu.
Kuna post nilishaweka hapa inasema "Mpenzi Wangu Hataki Nimfuatilie Mambo Yake", Juzi Kanitamkia Wazi Wazi Kua Hanitaki Tena. Kinachoniuma Ni Kwamba, Pesa Nilikua Nampa But Cjapata Chochote Kwake, Tuliwekeana Kua Tutasubiriana Hadi Ndoa. Yaani Sijui Nimfanyeje.
Ngoja Nikatafute Mabichi Nile Na Chumvi
Haswaaaa, hapo sasa umekuwa mtoto mkubwa
Mtoto mdogo kakojoe ukalale, unatujazia server
Habarini za leo, poleni na majukumu.
Kuna post nilishaweka hapa inasema "mpenzi wangu hataki nimfuatilie mambo yake", juzi kanitamkia wazi wazi kua hanitaki tena. Kinachoniuma ni kwamba, pesa nilikua nampa. Lakini sijapata chochote kwake, tuliwekeana kua tutasubiriana hadi ndoa. Yani sijui nimfanyeje.
......Nijiangalie kisa nini?jiangalieeee….. ohooo!