mtoto mdogo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 501
- 130
Kamshtaki mahakamani.
.........ya kadhi!!Mahakama Gan Hyo
.........ya kadhi!!
Habarini za leo, poleni na majukumu.
Kuna post nilishaweka hapa inasema "Mpenzi Wangu Hataki Nimfuatilie Mambo Yake", Juzi Kanitamkia Wazi Wazi Kua Hanitaki Tena. Kinachoniuma Ni Kwamba, Pesa Nilikua Nampa But Cjapata Chochote Kwake, Tuliwekeana Kua Tutasubiriana Hadi Ndoa. Yaani Sijui Nimfanyeje.
Wewe unataka ufanyaje?
Hiyo theory ya kusubiriana mi siwezi. Pole sana, wenzio walikuwa wanakula kwa chumvi akati ww unasubir aive.
Mje jioni niwasuruhishe jambo dogo tu hilo
Nimeumia Daah Nishauri Nimfanyeje
Kwako Wap
....Aha ha ha ha!! Matokeo ya form 4 yametoka, siku si nyingi server ya JF haitakuwa over loaded kama ilivyo sasa hivi.we uko form gani??
we uko form gani??
weka picha yake