hurrem_sultana
Senior Member
- Sep 6, 2018
- 136
- 361
rafiki hapo unazidi kumuumiza! muonee mwenziwe hurumaMtaji umeisha????? Kama bado upo njoo nikioe
rafiki hapo unazidi kumuumiza! muonee mwenziwe huruma
Mlipendana au ulimnunua? Na kama mtu hakupendi basi hakupendi tu.Mimi ni Mama wa watoto watatu, kabla ya kuoana na mume wangu nilikua na mwaaume mwingine ambaye tulikaa kwenye ndoa kwa miaka sita akafariki dunia, mimi nimemzidi mume wangu miaka mitatu, kabla ya kuoana tulikaa kwenye mahusiano kwa miezi sita, nilipoona nazidini nikaamua nimuambie kuwa anioe. Alikubali kweli akanichumbia na kunioa, Mama yake hakutaka kwa madi kubwa mwanae bado mdogo na kuona kama vile namlazimisha.
Kipindi hicho alikua akiishi kwake kapanga lakini alikua hana kazi maamu, kwakua mimi nimejenga naishi kwangu mume wangu alihamia kwangu tukawa tunaishi vizuri tu na tukapata watoto wawili. Nilimtafutia kazi ikashindikana nikamfungulia biashara ambayo sasa imekua kubwa na anaweza kujitegemea. Tatizo nikuwa baada ya kumpa mtaji, kumsimamia mpaka akwa na epsa zake amekua akifanya mambo yake kimya kimya, amekua hanishirikishi, amejenga bila kuniambia, kanunua gari kimya kimya bila kuniambia.
Nikimuuliza ananiambia kuwa hanitaki, anataka kuoa mwanamke wa umri wake mwanamke anayempenda, anadai kuwa kipindi namuambia anioe ni kama nilimdanganya akilia hana uwezo wa kufanya maamuzi yake. Anataka kuniacha lakini Baba yake hataki hivyo ananiambia kuwa kilichoshikilia ndoa yetu ni Baba yake tu. Nimechanganyikiwa, ana wanawake wengine na ananionyesha dhahiri hata hafichi, kibaya zaidi nasikia anataka kuoa mwanamke mwingine, nimechanganyikiwa kwani nimemtoa mbali, nishauri nifanye nini?
Duuh. Ama kweli pesa mwana haramu yaani jamaa alisahau yote mazuri kisa pesa tu na waeza shangaa hata hazikumsaidia kitu zaidi ya kuzifuja mpaka zikaisha.Pole. Huu mtihani wako umenikumbusha mkasa wa Dada mmoja ambaye tunafanyakazi wote. Huyu dada aliolewa na mwanaume ambaye ni Dereva taxi, alichukuwa mkopo kazini milioni 15, akamkabidhi mumewe ili waanze ujenzi wa nyumba yao, kwakuwa mwenye nyumba walipopangisha alikuwa mtata sana. Kilichotokea ni kwamba mume alitoroka na ela zote za mkopo, kamuacha mke na mtoto mdogo wa miezi 8.
Usichanganyikiwe kisa umemtoa mbali changanyikiwa kisa unampenda japo ukweli unauma lakin huyo mtu amesema ukweli so angalia ww unapokosea ujirekebishe ikishindikana basi let him go it was not made to be ni shida ndo zilimleta sio mapenziMimi ni Mama wa watoto watatu, kabla ya kuoana na mume wangu nilikua na mwaaume mwingine ambaye tulikaa kwenye ndoa kwa miaka sita akafariki dunia, mimi nimemzidi mume wangu miaka mitatu, kabla ya kuoana tulikaa kwenye mahusiano kwa miezi sita, nilipoona nazidini nikaamua nimuambie kuwa anioe. Alikubali kweli akanichumbia na kunioa, Mama yake hakutaka kwa madi kubwa mwanae bado mdogo na kuona kama vile namlazimisha.
Kipindi hicho alikua akiishi kwake kapanga lakini alikua hana kazi maamu, kwakua mimi nimejenga naishi kwangu mume wangu alihamia kwangu tukawa tunaishi vizuri tu na tukapata watoto wawili. Nilimtafutia kazi ikashindikana nikamfungulia biashara ambayo sasa imekua kubwa na anaweza kujitegemea. Tatizo nikuwa baada ya kumpa mtaji, kumsimamia mpaka akwa na epsa zake amekua akifanya mambo yake kimya kimya, amekua hanishirikishi, amejenga bila kuniambia, kanunua gari kimya kimya bila kuniambia.
Nikimuuliza ananiambia kuwa hanitaki, anataka kuoa mwanamke wa umri wake mwanamke anayempenda, anadai kuwa kipindi namuambia anioe ni kama nilimdanganya akilia hana uwezo wa kufanya maamuzi yake. Anataka kuniacha lakini Baba yake hataki hivyo ananiambia kuwa kilichoshikilia ndoa yetu ni Baba yake tu. Nimechanganyikiwa, ana wanawake wengine na ananionyesha dhahiri hata hafichi, kibaya zaidi nasikia anataka kuoa mwanamke mwingine, nimechanganyikiwa kwani nimemtoa mbali, nishauri nifanye nini?
Mwache aende Mungu atakupa mwingine, hata ukikaa nae kwa sasa atakuumiza tuMimi ni Mama wa watoto watatu, kabla ya kuoana na mume wangu nilikua na mwaaume mwingine ambaye tulikaa kwenye ndoa kwa miaka sita akafariki dunia, mimi nimemzidi mume wangu miaka mitatu, kabla ya kuoana tulikaa kwenye mahusiano kwa miezi sita, nilipoona nazidini nikaamua nimuambie kuwa anioe. Alikubali kweli akanichumbia na kunioa, Mama yake hakutaka kwa madi kubwa mwanae bado mdogo na kuona kama vile namlazimisha.
Kipindi hicho alikua akiishi kwake kapanga lakini alikua hana kazi maamu, kwakua mimi nimejenga naishi kwangu mume wangu alihamia kwangu tukawa tunaishi vizuri tu na tukapata watoto wawili. Nilimtafutia kazi ikashindikana nikamfungulia biashara ambayo sasa imekua kubwa na anaweza kujitegemea. Tatizo nikuwa baada ya kumpa mtaji, kumsimamia mpaka akwa na epsa zake amekua akifanya mambo yake kimya kimya, amekua hanishirikishi, amejenga bila kuniambia, kanunua gari kimya kimya bila kuniambia.
Nikimuuliza ananiambia kuwa hanitaki, anataka kuoa mwanamke wa umri wake mwanamke anayempenda, anadai kuwa kipindi namuambia anioe ni kama nilimdanganya akilia hana uwezo wa kufanya maamuzi yake. Anataka kuniacha lakini Baba yake hataki hivyo ananiambia kuwa kilichoshikilia ndoa yetu ni Baba yake tu. Nimechanganyikiwa, ana wanawake wengine na ananionyesha dhahiri hata hafichi, kibaya zaidi nasikia anataka kuoa mwanamke mwingine, nimechanganyikiwa kwani nimemtoa mbali, nishauri nifanye nini?
Umeanza vizuri lakin umemaliza vibaya kwakushindwa kubalance hiv ni wanaume wangapi wamesomesha wakaachwa? Tena hiyo tabia ndo ya kike na anayezungumziwa hapo ni mwanaume mwenye tabia za kike otherwise mwanamke mwenyewe alianza kutumia nafasi vibaya huenda kwa sababu kamuwezesha basi yy ndo akawa mume anamuendesha vibaya hapo lazima aachwe shida zikiishaPole mwaya inaumiza ila ndio hakuna jinsi sababu kwa ulivyoandika ni dhahiri kwamba hana hata chembe ya mapenzi kwako na kiunganishi kilikuwa shida zake tu na kwa kuwa zimekwisha basi huna thamani tena.
Mie nionavyo Chukulia hiyo ni Changamoto katika maisha hivyo huna budi kusonga mbele na kuangalia maisha yako wewe na wanao na si kurudi nyuma.
Ila baadhi ya binadamu Mungu anawaona aisee Maana waeza kuta mtu kajitolea kwa kila hali ili tu mtu usimame lakini mwisho wa siku yule aliyemsimamisha sasa anaonekana si lolote si chochote. Aiseeeeee tuachage hizi tabia sababu hata na sisi Ke tunazo sana tu.