Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,054
- 3,263
yupo, anatunga sheriaBaada ya Uteuzi wake Waziri wetu wa Mambo ya ndani tulikua tukimuona kila wakati kwmye Media akija na matukio, na malekezo na Amri mbali mbali.
For a while sasa kumekua na ukimya kutoka kwake,hii si kawaida yake , wacha niwaulizee wakuu wa Jamvi Alipo Mkuu wetu huyu wa mambo ya ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
We imekuuma nini mpaka uandike hivi
Juzi tu hapa kaunguruma kinyama na kuwasweka ndani Nida na wazabuni wao wa sakata la vitambulisho wakiwa kikaoni.Baada ya Uteuzi wake Waziri wetu wa Mambo ya ndani tulikua tukimuona kila wakati kwmye Media akija na matukio, na malekezo na Amri mbali mbali.
For a while sasa kumekua na ukimya kutoka kwake,hii si kawaida yake , wacha niwaulizee wakuu wa Jamvi Alipo Mkuu wetu huyu wa mambo ya ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp ninja alimsweka ndani Gotham pia!Juzi tu hapa kaunguruma kinyama na kuwasweka ndani Nida na wazabuni wao wa sakata la vitambulisho wakiwa kikaoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemwona kama dk kumi hazijapita anakata mauno, rumba imenogsBaada ya Uteuzi wake Waziri wetu wa Mambo ya ndani tulikua tukimuona kila wakati kwmye Media akija na matukio, na malekezo na Amri mbali mbali.
For a while sasa kumekua na ukimya kutoka kwake,hii si kawaida yake , wacha niwaulizee wakuu wa Jamvi Alipo Mkuu wetu huyu wa mambo ya ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitambi chote hicho bado anakùla wanga tu