Halafu hawa NEW FORCE hawajafunga GAVANA,bado wanakimbia vile vile sijui hawaonwi!!!!!
Halafu hawa NEW FORCE hawajafunga GAVANA,bado wanakimbia vile vile sijui hawaonwi!!!!!
Naww unaamini hawajafunga!?Yawezakana kabisa kuna kitengo kimezembea, ama rushwa bado ipo kazini, hapa ndipo vyombo vya habari vingekuwa vinawafuata wahusika na kuwahoji juu ya hizo double standards
AkiliKakuambia nani hawajafunga?
Jibu safi sana hili,tunaona magari mengine tukipanda hayana mwendo kabisa,lakini New Force wanatupita kama tumepaki.Akili
Jibu safi sana hili,tunaona magari mengine tukipanda hayana mwendo kabisa,lakini New Force wanatupita kama tumepaki.
Haya Mabasi ya New Force kwani yanamilikiwa na nani hadi yaogopwe kuchukuliwa hatua za kisheria?
Kila leo kuna malalamiko dhidi yao ila sijawahi kusikia hatua stahiki dhidi yao.
Dah kuna siku tu wala si mbali watu watalia.Nasikia ni wachina wapo Dar, yawezekana wametempana systems za ving'amuzi vya mwendo mkuu
Nilipanda DAR MbeyaDah kuna siku tu wala si mbali watu watalia.
Nilipanda DAR Mbeya
jamaa wanakimbia na kuovertake ovyo tu had milimani
Wako so careless
Safar ya kurud sikupanda
Nilipanda lingine
Yes likitokea janga.Ni kweli tunatofautiana sana mitazamo, lakini mwisho wa siku tunakuwa wamoja linapotokea janga