Kangi Lugola, OCD Biharamulo anakudharau

Kangi Lugola, OCD Biharamulo anakudharau

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
11,718
Reaction score
27,816
Kitendo cha kumuweka ndani Mchungaji Willbord William kwa wiki sasa bila kumhoji ,kumfungulia mashtaka ni kinyume na maagizo yako hivyo ni dharau si tu kwako hata kwa mh rais anayejitaja kuwa ni rais wa wanyonge.

mchungaji, wallboard wa kanisa la GSM Rusziba amekatwa tangu wiki uliyopita na kutakiwa alipe pesa kiasi cha laki nane ndio atolewe bila kuambiwa hata kosa lake nini hii nikwa mujibu wa baba yake mzazi aliyekataliwa hata kumuona ila tu pale atakapolipa pesa.


mh.jaribu kukupitia kwa ukaribu kituokikuu cha polisi wilayani biharamulo kwa kuna idadi kubwa ya washtakiwa ambaoa hata kwenye records hawapo
 
Hakuna OCD anaeweza kumsumbua waziri wa mambo ya ndani, wenye jeuri hiyo ni MaSACP's tu na kwenda juu napo nao anao uwezo wa kuwachomesha Ikulu wakakwanguliwa hizo nyota zao kiburi kikaisha
 
acha umbea mwanaume wew ningekujua ningekupiga lock-up Mimi mwenyewe shenzi type
 
hivi kweli mpaka leo hii watendaji wa namna hii bado wapo makazini pamoja na kutumbuliwa kote huku hahahahaaa acha nicheke cheko langu la Kihenga
 
hivi kweli mpaka leo hii watendaji wa namna hii bado wapo makazini pamoja na kutumbuliwa kote huku hahahahaaa acha nicheke cheko langu la Kihenga
Huyu ni majungu na mnafiki.Ukifuatilia no mzandiki tu.Kwa nin hajaenda kwa DC wake ambaye ni mkiti wa kamati ya uliinzi na usalama na yupo karibu naye.Huyu ni mzandiki.
 
Back
Top Bottom