The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,258
- 17,456
kinachonikwaza ni kwamba wanaojiunga au kutajwa kujiunga ni wale ambao wamepima upepo na kuona either hawakubaliki na chama au wapiga kura. yaani makapi hakuna pure grain hata mmoja. feel sad to cdm
Mutungirehi na MWIBARA wapi na wapi..
Ukitaka uwe great thinker uijue siasa na history.
JIMBO LILIKUWA LA MUTAMWEGA KIPINDI NIPO DARASA LA PILI PALE SHULE YA MSINGI BARAA
kinachonikwaza ni kwamba wanaojiunga au kutajwa kujiunga ni wale ambao wamepima upepo na kuona either hawakubaliki na chama au wapiga kura. yaani makapi hakuna pure grain hata mmoja. feel sad to cdm
Una uhakika na ulichoandika lakini...??
Esther Bulaya hakubaliki Bunda..?? na James Lembeli hakubaliki Kahama..??
Usitumie za kuambiwa tu, changanya na zako japo unazo kidogo.
Ni kweli mkuu, wengi wao ni wale waliosema ukweli wa wa dhambi za ccm, ambao wameshindwa kuendelea kuvumilia unyama unofanywa na ccm dhidi ya Watanzania masikini. Kwahyo ccm na wanachama wakawachoka sababu bado hawapo tayari kujirekebishakinachonikwaza ni kwamba wanaojiunga au kutajwa kujiunga ni wale ambao wamepima upepo na kuona either hawakubaliki na chama au wapiga kura. yaani makapi hakuna pure grain hata mmoja. feel sad to cdm
Mnamwona kapi baada ya kuwatosa..kinachonikwaza ni kwamba wanaojiunga au kutajwa kujiunga ni wale ambao wamepima upepo na kuona either hawakubaliki na chama au wapiga kura. yaani makapi hakuna pure grain hata mmoja. feel sad to cdm
huko Mwibara chadema haipo? Hili jimbo lilikuwa la Mutungerehi nae akajichanganya akaenda TLP, yaani tabu tupu.
huko Mwibara chadema haipo? Hili jimbo lilikuwa la Mutungerehi nae akajichanganya akaenda TLP, yaani tabu tupu.
huyu kachanganya maboya, Ntungirei ni karagweUnamjua Mtungirehi ni wa wapi au unajisemea semea tu.
Pitia vizuri kumbukumbu zako,Mwibara ilikuwa chini ya TLP kwa Mhe. Mutamwega Mugahywa.
Mutungirehi alikuwa mbunge wa TLP pia jimbo la Kyerwa mkoani Kagera,siku nyingine kama huna uhakika uliza utaelezwa bila tatizo kuepuka kupotosha,tupo hapa kuelimishana,wewe unajua hiki na mimi najua kile basi tuelimishane.
Nasikia wapigaji wote wanahama CCM baada ya bosi wao kupigwa chini
Kwani tarehe za kura za maoni ya watia nia ubunge cdm hazijapita? Au anakwenda cdm kuwa mwanachama wa kawaida?
huu ndo wakati mzuri wa ccm kuiteka chadema nzimanzima.
tuma makada 150 wahamie chadema na watapewa nafasi ya kugombea ubunge na wakipita wanakuwa wamo kwa maslahi ya ccm.
inaitwa infiltration
kinachonikwaza ni kwamba wanaojiunga au kutajwa kujiunga ni wale ambao wamepima upepo na kuona either hawakubaliki na chama au wapiga kura. yaani makapi hakuna pure grain hata mmoja. feel sad to cdm
Sizitaki mbichi hizi.
Una uhakika na ulichoandika lakini...??
Esther Bulaya hakubaliki Bunda..?? na James Lembeli hakubaliki Kahama..??
Usitumie za kuambiwa tu, changanya na zako japo unazo kidogo.