Kanga

Haya ni dalili ya udhaifu wa jamii katika maadili na heshima. Kitu kama hiki kinaonekana ni kawaida tu. Fikiria unatembea na na watoto wako au mzazi wako na wote manaona mandishi kama haya !!
 
Kama wamefikia mahali pa kuvua nguo zote wakaweka begani ati ni msisimko wa ngoma mtaani mchana peupe wadhani wataogopa kuivaa?? Weka sokoni uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…