kandoro usifanye kosa tuduma

Mufiyakicheko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
892
86
Kandolo(01).jpg nikushukuru kwa kututembeleya tunduma na kutuwekeya jiwe s/m mukombozi na kuchangiya
mifuko 50 ya saruji 10-11-2011 mazingila niliyoyaona tunduma na kilicho tokeya mbeya kinaweza tokeya tunduma
mukurugenzi kukuomba uagize wafanya biyashala wahamiye soko ambalo wananchi na diwani wanasema bado inanipa
mashaka ushauli

maoni tofauti yatolewayo na wananchi kwa viongozi wa nchi yawo ni kama viungo tofauti tofauti vya mboga tamu. tunapotaka kutengeneza
mboga nzuri huchanganya viungo vingi pamoja nakuchemsha mpaka vimewiva vizuri. utamu unatokeya ukichaganya viungo kiufundi
,kwa kuwa kila kimoja kinashiriki katika ladha ya mboga.lakini kama tungekuwa tunaonja viungo vile kila kimoja peke yake kamwe visingekuwa na ladha nzuri kihivyo. vilevele, ushauri,wazo,pendekezo la mutu1,kikundi,tasisi,nk daima likitolewa na mtz waliokusanyika kupanga,kujadil tusiangalie itikadi ya vyama kukubwa jee? tutanufaikaje na sivinginevyo chondechonde kaangalie hiro soko ujilizishe ongeya na wana tunduma
faida zakuhamiya kwenye hilo soko na hasala zakutohaiya usimbeza huyo diwani kwavile ni chadema tusipende kujifunza kwa makosa
ninaimani utalifanyiya kazi ninakutakiya kazi njema
 
Back
Top Bottom