kandoro na machinga

Nyeuc

Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
16
Reaction score
1
kandoro kila anapoenda anakumbwa na maandamano na ya wamachinga kwanzia mwanza na sasa mbeya kulikoni!kuna matatizo meng sana ya kudili with kama upigaji wa nondo na kuungua kwa masoko!wachen uijana watafute rizik wakizura mnawakamata wazururaji
 
mwanza naye alifanya hivyo yakamshinda JK kamapa kazi ya kuvuruga wamachinga mikoa anayopelekwa
 
kandoro kila anapoenda anakumbwa na maandamano na ya wamachinga kwanzia mwanza na sasa mbeya kulikoni!kuna matatizo meng sana ya kudili with kama upigaji wa nondo na kuungua kwa masoko!wachen uijana watafute rizik wakizura mnawakamata wazururaji

cheap popularity ndo anayotafuta
 
Kandoro hata anapoongea anaonyesha ubabe sana. Ubabe utamcost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…