Chadema 2030 JF-Expert Member Joined May 5, 2025 Posts 1,920 Reaction score 3,753 Mar 22, 2026 #1 Hiv kanda ya ziwa kuna nini mbona matukio ya kinyamera yamezidi, hadi mtu ana hofu ya kwend huko.
Robert Heriel Mtibeli JF-Expert Member Joined Mar 24, 2018 Posts 38,845 Reaction score 90,306 Mar 22, 2026 #2 Maisha magumu Sheikhe
M Monomer JF-Expert Member Joined Nov 23, 2023 Posts 682 Reaction score 1,261 Mar 22, 2026 #3 Kule watu ni pesa mbele kabla ya utu
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,111 Reaction score 21,982 Mar 22, 2026 #5 Goku 255 said: Hiv kanda ya ziwa kuna nini mbona matukio ya kinyamera yamezidi, hadi mtu ana hofu ya kwend huko. Click to expand... Fafanua
Goku 255 said: Hiv kanda ya ziwa kuna nini mbona matukio ya kinyamera yamezidi, hadi mtu ana hofu ya kwend huko. Click to expand... Fafanua
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,814 Reaction score 110,067 Mar 22, 2026 #6 Goku 255 said: Hiv kanda ya ziwa kuna nini mbona matukio ya kinyamera yamezidi, hadi mtu ana hofu ya kwend huko. Click to expand... kinyamera ndio kitu gani?
Goku 255 said: Hiv kanda ya ziwa kuna nini mbona matukio ya kinyamera yamezidi, hadi mtu ana hofu ya kwend huko. Click to expand... kinyamera ndio kitu gani?
K KERATO MOMBAA JF-Expert Member Joined Feb 4, 2025 Posts 4,394 Reaction score 5,907 Mar 22, 2026 #7 Wamekunyemerea nini? Kwa tulivyn kanda ya ziwa utakuwa umetaka kutunyemera, tukakuwahi! Huwa tunakupokea unavyokuja
Wamekunyemerea nini? Kwa tulivyn kanda ya ziwa utakuwa umetaka kutunyemera, tukakuwahi! Huwa tunakupokea unavyokuja
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,945 Reaction score 193,992 Mar 22, 2026 #8 Hatari sana... Cc: Mahondaw