Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
मैं ठीक हूँ. आप भी कैसे है?Habari za Mumbai baba Askofu
Nipo baba ila mapicha picha huku yamezidi tunàsomeshwa tarakimu kwa mtutu wa bundukiमैं ठीक हूँ. आप भी कैसे है?
(Niko njema. Na wewe hujambo?)...
Hahahahahaaaaaa... Umenikumbusha ule wimbo wetu "Wacha waisome namba eeh, ... mbele kwa mbeleee...Nipo baba ila mapicha picha huku yamezidi tunàsomeshwa tarakimu kwa mtutu wa bunduki
Hahahahahaaaaaa... Umenikumbusha ule wimbo wetu "Wacha waisome namba eeh, ... mbele kwa mbeleee...
Matokeo yake waliokuwa wakiuimba ndiyo wakawa wa kwanza kuisoma namba...