Kamwe usimwamini mwanamke

Sadly siku hizi kwenye usaliti limekuwa jambo la kawaida kabisa.....

Kila mmoja anajitahidi tu asifumaniwe tu lakini behind the scenes yanafanyika ya kutisha......

Kuna watu PhD kwenye usaliti na unaweza kukaa muda mrefu bila kujua....

Umdhaniae ndiye kumbe siye.....

DON'T TRUST NO ONE.....
 
Hakika.
 
Nambie nipe maelekezo.
Hasara za uchepukaji kiimani .
Unapochepuka unachukua maroho machafu ,nuksi, gundu na vitu vichafu vya watu ambao unaochepuka nao .

Watu wengine wanachukua baraka ,bahati zako na wanakubadilishia mabaya yake.
Ukilala na watu ambao sio mume wako au mkeo unakuwa hauna maendeleo na unakuwa unapata misuko suko kimaisha.
Mke wako kwa maana anatunzwa na wewe muache uone kuwa anagawa mazuri yake kwa hao wanaume.

zamani nilikuwa nawanaume wakutosha ila sikuwa najua madhara yao hadi nilipochukuliwa nyota na mmoja wao na wengine kuchukua mazuri yangu.

Kwa sasa naombaga tu Mungu anipatie mume sahihi ili niweze pata haki yangu ndani ya ndoa. Huwezi amini si sex tena na mtu naogopa kuchukuliwa nyotq na mazuri yangu.

Ushauri achana. Naye kwa sababu anakuwa anakuchukulia mazuri yako anawapelekea hao watu sema hajui anafanya hivyoo ukiendelea naye kulala naye mtapata shida kama biashara hazitoenda , na mtapata misuko suko kisa tu uasherati
 
Shukrani sana. Tulishaachana pia usijali utapata Mume Bora jitahidi kuwa Bora hivyohivyo.
 
Kacheki Gono sugu, Kaswende, pangusa malizia na UKIMWI...Ukitoka salama katoe sadaka ya shukran alafu umuache huyo Kahaba haraka sana.
 
Kusex no tena kama mtu hanitaki basi
Good ukiwa makini utapata mtu makini. Pia huo msimamo ukawe hivyohivyo hata ukiolewa sio unaolewa alafu ugomvi au shida kidogo ndani ya nyumba una_cheat.
 
Kacheki Gono sugu, Kaswende, pangusa malizia na UKIMWI...Ukitoka salama katoe sadaka ya shukran alafu umuache huyo Kahaba haraka sana.
Shukrani sana. Pia tulishaachana kiafya niko salama aise.
 
Good ukiwa makini utapata mtu makini. Pia huo msimamo ukawe hivyohivyo hata ukiolewa sio unaolewa alafu ugomvi au shida kidogo ndani ya nyumba una_cheat.
Mbona huelewi sasa ukacheat where na ukilala na mtu anaenda na kitu chako kizuri elewa basi ?? Hata mume nitakuwa na muogopa kumpa ovyoo mana atachukua changu kizuri nibaki empty
 
Mbona huelewi sasa ukacheat where na ukilala na mtu anaenda na kitu chako kizuri elewa basi ?? Hata mume nitakuwa na muogopa kumpa ovyoo mana atachukua changu kizuri nibaki empty
Ok Ok am just saying.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…