Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,037
Makalio/mattercotafsiri yake mkuu?πππ
teh teh teh lugha za MMU raha tupu!Makalio/matterco
Yaani misamiati mipya ni kwenye viungo vya uzazi tu?Habari wanaMMU,
Kama kweli we ni mpenzi wa jukwaa hili utakubaliana na mimi kwamba lugha inakua. Katika pitapita zangu humu ndani nimekua nikikutana na maneno mapya kabisa yanayoniacha hoi.
1.Papuchi-uke
2.Dyudyu-uume
3.Kugegeda-kut**mb
4.Pichu/kyupi-chupi
5.kifanyio-uume/uke
....
ongezea mengine tuikuze lugha yetu tukuka!
Alaaa! kumbe!Madimpoz/gay
apana mkuu angalia vizuri! leta na mingine tuelimishane.Yaani misamiati mipya ni kwenye viungo vya uzazi tu?