hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,278 Reaction score 8,599 Dec 21, 2017 #1 Wakuu habari za leo Naitaji huduma ya kukodi helicopter so kwa yeyote mwenye kujua kampun ambayo inafanya hizo mambo anipm
Wakuu habari za leo Naitaji huduma ya kukodi helicopter so kwa yeyote mwenye kujua kampun ambayo inafanya hizo mambo anipm
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,174 Dec 21, 2017 #2 mtafute barafu huyo ni mjuvi wa hayo mambo.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,848 Dec 21, 2017 #3 Mtafute Dr Shika
hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,278 Reaction score 8,599 Dec 21, 2017 Thread starter #4 Babati said: Mtafute Dr Shika Click to expand... Kwani ni lazima uandike?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,848 Dec 21, 2017 #5 hp4510 said: Kwani ni lazima uandike? Click to expand... Mkuu umeomba tukusaidie kukuonyesha, ama kuna ubaya mkuu?
hp4510 said: Kwani ni lazima uandike? Click to expand... Mkuu umeomba tukusaidie kukuonyesha, ama kuna ubaya mkuu?
Obugwa Izoba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 10,466 Reaction score 11,641 Dec 21, 2017 #6 Mi ninazo! Karibu pm tufanye biashara
Farm boy Member Joined Sep 8, 2015 Posts 60 Reaction score 107 Dec 21, 2017 #7 Check na Everret Aviation wapo New Holiday In pale posta DSM.
charty JF-Expert Member Joined Oct 28, 2013 Posts 7,460 Reaction score 6,001 Dec 21, 2017 #8 hp4510 said: Wakuu habari za leo Naitaji huduma ya kukodi helicopter so kwa yeyote mwenye kujua kampun ambayo inafanya hizo mambo anipm Click to expand... Niliona Kenya wamezindua Uber ya helicopter..jaribu kurequest huko.Huku kwetu mhh sijui
hp4510 said: Wakuu habari za leo Naitaji huduma ya kukodi helicopter so kwa yeyote mwenye kujua kampun ambayo inafanya hizo mambo anipm Click to expand... Niliona Kenya wamezindua Uber ya helicopter..jaribu kurequest huko.Huku kwetu mhh sijui
Mtetezi.com JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 3,134 Reaction score 3,602 Dec 21, 2017 #9 Kweli vyuma vimeachia!.
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,053 Reaction score 15,515 Dec 21, 2017 #10 Helicopter ya Gwajima huitaki??? Nayo ipo kusaidia Jamii
Brightfame JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,371 Reaction score 1,460 Dec 21, 2017 #11 hp4510 said: Wakuu habari za leo Naitaji huduma ya kukodi helicopter so kwa yeyote mwenye kujua kampun ambayo inafanya hizo mambo anipm Click to expand... Kama hutojali kuna helcopter za jadi (ungo)
hp4510 said: Wakuu habari za leo Naitaji huduma ya kukodi helicopter so kwa yeyote mwenye kujua kampun ambayo inafanya hizo mambo anipm Click to expand... Kama hutojali kuna helcopter za jadi (ungo)
Mr muhuni JF-Expert Member Joined May 26, 2014 Posts 1,304 Reaction score 1,268 Dec 21, 2017 #12 Fanya kugoogle mkuu
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,451 Reaction score 50,183 Dec 21, 2017 #13 Ukiwa Dar tazama zinakokwenda kutua
mzungu wa roho JF-Expert Member Joined Oct 21, 2017 Posts 209 Reaction score 141 Dec 21, 2017 #14 daaahh kuna majibu yanakatisha tamaa sanaπππ
hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,278 Reaction score 8,599 Dec 21, 2017 Thread starter #15 mzungu wa roho said: daaahh kuna majibu yanakatisha tamaa sanaπππ Click to expand... Tatizo wengi huwa wanadanganya umri, mtu wa zaid ya miaka 18 Hawezi kujibu mambo ya ajabu kama kitu ajui atakaa kimya
mzungu wa roho said: daaahh kuna majibu yanakatisha tamaa sanaπππ Click to expand... Tatizo wengi huwa wanadanganya umri, mtu wa zaid ya miaka 18 Hawezi kujibu mambo ya ajabu kama kitu ajui atakaa kimya
hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,278 Reaction score 8,599 Dec 21, 2017 Thread starter #16 Brightfame said: Kama hutojali kuna helcopter za jadi (ungo) Click to expand... Ukifikisha miaka 3 tangu umejiunga jamii forum utatulia tu, najua kwa sasa una mchecheto wa kucoment
Brightfame said: Kama hutojali kuna helcopter za jadi (ungo) Click to expand... Ukifikisha miaka 3 tangu umejiunga jamii forum utatulia tu, najua kwa sasa una mchecheto wa kucoment
Baba Swalehe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 20,220 Reaction score 39,854 Dec 21, 2017 #17 Mkuu unataka kwenda Zimbabwe nn ukalainishe vyuma maana Kyle grease bei rahis
Dannis JF-Expert Member Joined Jan 21, 2016 Posts 1,603 Reaction score 1,749 Dec 22, 2017 #18 Naipenda jf maana nacheka Sana sio kwa majibu haya Mkuu fanya ku-google tu
sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,237 Reaction score 8,992 Dec 22, 2017 #19 Kwann unataka kuongelea uchochoroni (pm)