Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 216
Mwambie aache upuuzi.[/QUOTE]
kabisaaa!
mi naona achane nywele hata kama ana kiparaMwambie aache upuuzi.[/QUOTE]
kabisaaa!
mi naona achane nywele hata kama ana kipara
Si amuulize tu mkewe anaogopa nini au umetunga hii kitu?
Maadam umeshapata namba ya simu (tigo),wewe tengeneza mtego utambaini mwizi wako.waweza mtumia mwanamke mwingine ampigie simu akijifanya ndo mamsapu anahitaji kumwona hivyo amwelekeze sehemu watakapoonana.na hapo mtego lazima unase.
inaonekana wewe ni mzoefu wa hii ki2Maadam umeshapata namba ya simu (tigo),wewe tengeneza mtego utambaini mwizi wako.waweza mtumia mwanamke mwingine ampigie simu akijifanya ndo mamsapu anahitaji kumwona hivyo amwelekeze sehemu watakapoonana.na hapo mtego lazima unase.
..Haswaaaa...kwani hata kama anamegwa jioni si anarudia nyumbani na yeye anapata mgao wake?? Pia ajichunguze na yeye huenda mandingo yako yamepooza so mama ameonja ya taxi driver anapagawa!!! Kaaaazi kweli kwelii...Mwambie aache upuuzi.
..Haswaaaa...kwani hata kama anamegwa jioni si anarudia nyumbani na yeye anapata mgao wake?? Pia ajichunguze na yeye huenda mandingo yako yamepooza so mama ameonja ya taxi driver anapagawa!!! Kaaaazi kweli kwelii...
Ndio maana nikamuongezea na ushauri wa bure ajaribu kuangalia na performance yake mazee.. Sioni mbadala wake hata kama aatamuuliza mkewe au atakwenda kwenye hizo kampuni za simu ni bure tu kama hapigi mzigo katika kiwango cha uhakika ategemee maumivu tu..hapo tu penye bold mkuu, na ukimwi wote huu ......... ataubebea mbeleko gani???????????
Jana nimepata email ya rafiki yangu anaomba ushauri wangu eti anamhisi mkewe anatembea nje ya ndoa.
Anasema wao kwenye ndoa yao kila mtu ana uhuru wa kushika na hata kutumia simu ya mwenzie, katika kuperuzi siku moja akaona kuna mtu ameseviwa kama taxi 3. Hakupata shida kwani alijua ni no ya taxi driver ili apigiwe ikitokea dharura. lakini aliposona call register aligundua kuwa tofaui na mategemeo kwamba mkewe ndoye angekuwa anapiga simu akihitaji taxi, akakuta huyu taxi 3 ndiye hupiga simu mara nyingi kwa mkewe.
Sasa baada ya uchunguzi, amegundua pasi na shaka kuwa huyo si taxi diver bali ni hawara wa mkewe! Ameamua kuwanyatia ili akiwapatia awafunze adabu. Alienda ofisi za tigo (no ya huyo tax3) wamsaidie kuangalia jina lililosajiliwa kwa hiyo no wakamkatalia eti wanaema hawawezi kumtajia jina ni siri. Sasa anaulza:
je, ni kweli makampuni ya simu hayawezi kumsaidia? kama yanaweza, afuate utaratiu gani?
Vipi akipeleka cheti cha ndoa kthibitisha ndoa yao bado watakataa?
Kwa ujumla ni utaratibu gani unapaswa kufuatwa ili haya makampun yatoe ushirikiano wa suala kama hili?
Mke kutembea nje ya ndoa..makapuni ya simu haiwahusu kutoa jina au majina ya walio wasiliana na mkeo. kwanza ingekuwa vema kuwekeana mipaka na mkeo kuhusu kupokea au kutumia simu zenu maana wote ni wacheza rafu za uroda.
Ampigie huyo tax driver aje amchukue nyumbani kwenda mahali wakati mkewe akiwepo nyumbani na asimpe nafasi ya kuwasiliana naye. Ikiwezekana atumie namba ambayo mkewe hajui. Atapata majibu yenye kuelekea ukweli.