coockie monster
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 390
- 757
Kwanza binaadamu kaanza tabia kuvuta tumbaku kabla ya yesu kuja,Tanzania watu wameanza kuvuta tumbaku zaidi ya miaka 200 iliyopita.
Tumbaku inapendwa na kuna watu tunaifurahia. Inakuaje nyie TCC mnakubali sigara zipande bei kiholela mtaani wakati nyie mna hela zetu nyingi na nguzo ya uchumi? Inakuaje wafanyabiashara wanatuzia Embassy-400Tsh,Portsman-300Tsh toka tarehe 8 December. Pelekeni watu na mfanye matangazo kuwaelemisha watu kuhusu bei.
Msituchulie poa wateja wenu, msijae uoga na propaganda kwa kitu ambacho watu wanakifurahia. Sisi wateja wenu mtutetee na msikubali sisi tuumizwe na wafanyabiashara.
Kama mteja mkubwa wa Embassy nawakilisha malalamiko yangu na nipo tayari kupiga kampeni kutetea maslahi yetu wavuta sigara na kunyonywa na wenye maduka..
“We mangi?Acha tamaa!Embassy ni miatatu sio mia nne”.
Wavuta sigara tuna HAKI.. kama wameshindwa kazi watuachie viwanda.. Ma director wanalipwa maslahi mazuri wakati sisi wapenzi tunaumia.. Sigara sio haramu,Sigara ni starehe ambayo sitaki mtu yoyote aingilie sababu hajaniumba yeye. Kuvuta sigara ni HAKI yangu na nastahili kulalamika nikinyonywa na wFanyabiashara wenye tamaa.. TCC ongeeni na masupplier wenu,waache tamaa tunataka bei elekezi ya sigara siko kila mtu anajiamulia..Bongo Sigara zinalindwa kwa bunduki Raia wanauwawa kwa bunduki.
Sigara inaheshimika kuliko raia
Yaani inauma sana.. let me have a smoke in peace.Embassy click ni jero
View attachment 3518295
Ni hivi. Sigara sio nzuri ki’afya ila ni kiburudisho cha mda mrefu na kipendachwo. Wavuta fegi wote duniani wanajua madhara yake. Ila kiasili ya binaadamu and nature kiujumla watu wana crave social life na wanaigana. Smoking imeanzia SouthAmerica na watu walikua wanavuta tumbaku kijamaa kwenye kiko wantembezeana."Uvutaji wa sigara ni hatari kwa Afya yako"
Nimenukuu tu sijaongeza langu