Kun Jr JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 701 Reaction score 363 May 23, 2019 #21 Wild Thoughts said: Mkuu nina mashine yangu ina RAM 2GB, sasa izi RAM vipi? naweza nikanunua 2GB nikaongezea ikafika 4GB au labda kuna RAM 4GB mpaka nifanye substitution bandika bandua? Click to expand... inawezekana kuongeza kama ina port moja nunua ya 4GB kama ina port mbili ongeza ram
Wild Thoughts said: Mkuu nina mashine yangu ina RAM 2GB, sasa izi RAM vipi? naweza nikanunua 2GB nikaongezea ikafika 4GB au labda kuna RAM 4GB mpaka nifanye substitution bandika bandua? Click to expand... inawezekana kuongeza kama ina port moja nunua ya 4GB kama ina port mbili ongeza ram