Kama siyo DSTV potezea.Habari zamuda huu? Ningependa kuuliza hivi kampuni ya Digitek iliishia wapi? Walianza na Antenna(terrestrial) wakaja na dishi ( settelite) ilikuwa inaitwa Digitek plus wamepotea Tena! Kwa muliopo dar Hilo kampuni linahofisi zake? Naje naweza pataje huduma zake kwa mm nliye mkoani huku.... Nawasilisha
Si ndiye mmiliki?...inamuhusu.Inhusianaje?