Kampuni ya Tigo na ubovu wa mawsiliano(network)

Kampuni ya Tigo na ubovu wa mawsiliano(network)

Joined
Aug 15, 2014
Posts
35
Reaction score
7
Kampuni ya mawsiliano ya Tigo imekuwa ni kampuni sumbufu sana kwa watja wake(sisi) ni zaidi ya wiki tatu mpaka nne sasa tigo inasumbua sana katika mawasiliano na nk.Je uongozi wa tigo mnalifahamu hili?,na mnampango gani wateja wenu tunasumbuka sana cha kushangaza mko kimya hakuna taarifa yoyote kutoka kwenu ni nini ushauri wenu kwetu?, ndio nitafsili kwamba mumezidiwa?au
 
Upo maeneo gani mkuu,au Ni tatizo gani haswa
 
wanasababisha michepuko kwenda mitandao mingine kuongezeka...
 
Vumilieni bwana..., Kuongea tumieni tigo.., internet tumieni airtel.., kutuma pesa kijijini tumieni voda.., simple!
 
mi nasuburi wakimaliza kurekebisha mitambo yao. inside information ni kwamba tigo itakua na capacity ya kuhandle customers wengi zaidi. tuombe uzima better things coming.
 
Back
Top Bottom