Zikambona255
Member
- Dec 24, 2019
- 7
- 4
Hii imekuwa too much. Mtu unajiunga GB 1 halafu baadae wanakwambia zimebaki MB 600 au MB 300 za Facebook. Mimi nimejiunga za mambo yangu kwanini mniwekee za Facebook kweny GB 1 yangu?
Hii imekua too much mtu unajiunga GB 1 alf baadae wanakwambia zimebaki mb 600 au mb 300 za Facebook mm nimejiungab za mambo yangu kwann mniwekee za Facebook kweny GB 1 yangu
Na waliowaptoeza ni airtel walikuja na offa bambamWewe bado uko huko ukilalamika ? Chukua hatua mwaka 2019 walipoteza wateja laki tano na ushee kwa majibu wa TCRA report. Kwa kampuni za simu kupoteza wateja kiasi hicho sio kitu kidogo