Augustino Fanuel Massongo
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 1,278
- 666
Punguza jazba, rudia kusoma tena mada kuu uelewe umeambiwa wanafanya kazi SA na Tanzania elewa hiyo kampuni ya Williamson iliyotajwa iko Mwadui mkoani Shinyanga na Serikali ina hisa ila kampuni mama makao yake ndio yako SA.Wafanye biashara S.A alafu waje kulipa Tz? shame you CCM
Wewe mwenye mkia butu unaweza kunielewesha kitu?Punguza jazba, rudia kusoma tena mada kuu uelewe umeambiwa wanafanya kazi SA na Tanzania elewa hiyo kampuni ya Williamson iliyotajwa iko Mwadui mkoani Shinyanga na Serikali ina hisa ila kampuni mama makao yake ndio yako SA.
Ni mzalendo typically shida ni uelewa wa mambo.Sina uhakika kama wewe ni mzalendo
Hakika siwezi na kwa namna brain pattern yako ilivyo wala hakuna anayeweza .Wewe mwenye mkia butu unaweza kunielewesha kitu?
Inavyoonekana ww ni mtu mzima lakini una-ulemavu wa akili.Hakika siwezi na kwa namna brain pattern yako ilivyo wala hakuna anayeweza .
Haya pita mkuu.Inavyoonekana ww ni mtu mzima lakini una-ulemavu wa akili.
Hovyo, leta hoja mezani, acha viroja.Kwenye group lenu la madog wa CCM wewe ndiyo wamekuteua kujibu hoja mkuu? pole sana mkuu na hivi unamkia butu.
Kwa huu utawala katili hakuna biashara itasitawi.
Umecopy kwenye net ndiyo unaona na wewe ni bonge la dili.umefikilia padogo sana...
embu anza kwa kufikilia hili neno kama ujawahi kusoma hesabu za Linear Programming, "Point of distabance"
Mimi siyo mpinzani ni Mtanzania ng'ombe wewe.Hovyo, leta hoja mezani, acha viroja.
Nyie ndio mnatia doa upinzani.
Ma.viKwa huu utawala katili hakuna biashara itasitawi.
Ya dingi yakoMa.vi
tatizo sio wewe, tatizo ni uwezo wako wa kufikilia sehemu ndogo mkuuUmecopy kwenye net ndiyo unaona na wewe ni bonge la dili.