Kwanza; kama wanaihusisha na kampuni inayozalisha soda, basi siyo yenyewe. Hakuna kampuni ya PepsiCo, kuna Seven-up Bottling Company (SBC).
Pili; hakuna mtu unaweza kumpa hela halafu yeye akuzalishie. Huo ni utapeli. DECI, Vanilla, Mr. Kuku, n.k. wametapeli wengi sana kwa mtindo huu. Shituka.
Mwisho; usimpe au kuwekeza hela yako kwa yeyote usiyemfahamu. Otherwise, wekeza kiasi unachoweza kukipoteza (you can afford to lose).