Prisoner 46664
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 1,948
- 1,238
hakuna kitu kibaya kama kukopesha mtu asiye na mpango 'thabiti' wa kibiashara, utaishia kumfilisi tu..mabenki yote yanalifahamu hili.Serikali ikomalie atcl. Chondechonde hela zetu
Mkuu Prisoner nlifuatilia ile taarifa uliyoweka ya awali, thenx for this developing story. Heshima mbele kwako mkuu.
Mimi najiuliza, kwani mwanzoni Shirima yeye binafsi sia alikuwa na ndege zake nne? Kwa sababu nasikia aliingia ubia na wakenya, wakamshauri aongeze route eg south africa ambayo ilikuwa inaoperate kwa hasara kubwa.
Pia wakamshauri aongeze boeing kwa mkopo. So ndege alizoongeza zote ni mkopo. Mimi ninavyooelewa shirima anachoweza kufanya ni kukubali ameshindwa kurudisha mkopo kw nini asiache hizo ndege alizokopa zitaifishwe na benk abakie na zile ndege nne za awali, aende na ile biashara yake ya awali.
Pia alikokosea alikataa kuingia ubia na serikali akawaona wakenya ni muhimu, ila nnachoelewa wakenya pale Precision wanalipwa international rate, kias administration ni ghali why asiwapige chini? Mkuu kama unaweza nitoa tongotongo. Kwa mara nyingine. Heshima mbele. Mia
ha ha...pole sana mkuu...unajua kuna sehemu nimekuona ukimwaga elimu ya "PHD" kuhusu anga na ndege leo, ni vipi hamkuwahi kuuza share zenu mara tu fast-jet ilipotangaza strategy ya bei rahisi?..Nilishangaa sana kuona share za precision hazikushuka bei wakati ule...too bad, sasa hivi kuna hisa nyingi sokoni kila mtu anataka kuuza na mnunuzi hakuna...Bye bye kamtaji kangu nilikowekeza huko.
Mungu akipenda tutaonana. Naandika kwa uchungu sn.
Imapro,...tunarudi pale pale tulipokuwa mara ya mwisho...serikali inunue asilimia 51 ya hisa za PAL kwa kutumia hiyo 51 billion wanayotaka na tuachane na mpango wa kupeana hela za bure za mikopo ambayo haitakaa ilipike..hao waTanzania unaowasema watakuwa wamesaidika hapo kwa njia ambayo haitaumiza sana hawa waTanzania wengine waliobaki....Hii habari sio nzuri kwa kila upande investors(wenye hisa) na suppliers.nina uhakika precision itakuwa na madeni makubwa ya makampuni ya mafuta.kama govenment itashindwa kubail out maanake next step itatangazwa mufilisi na itakuwa kilio kikubwa sana kwa Watanzania.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu kaburu..walichofanya precision air kwa mwaka juzi ni naive investing..kama mimi kipindi kile naanza kufanya biashara ambapo nlikuwa napiga mahesabu na kuweza kumshawishi mtu kabisa kuwa naweza kugeuza milioni moja kuwa 5 ndani ya mwezi mmoja...kumbe kuna so many other factors yet to be considered... Ukiwauliza precision wanaweza wasijue ni kwanini walikuwa chaguo la watu wakati wa nyuma..watashindwa kujua kuwa sababu kuu ni kuwa walikuwa hawana mshindani, kwa hivyo wasafiri walikuwa hawana choice..ilikuwa ni kawaida sana kwa watu kulalamika kila siku kuwa ndege zinachelewa mara nyingi lakini hakuna kilichokuwa kinafanyika..kwa style hii, kuna uwezekano kuwa fast jet wangeweza kuja na strategy tofauti kabisa na hii ya bei..wakahakikisha tu within 6 months ya kuanza kwao kuna excellent customer care na hakutakuwa na flight - delays hata siku moja..I assure you, precision would have gone to its knees still...Faida ilikuwa stead kwa kipindi chote, ghafla an ABNORMAL BIG LOSS. Kupata hasara kwa Public Listed Company na kugawana au kuathiri Price Per Share si ajabu kwa kuwa Shareholders wanashirikishwa katika maamuzi makubwa yanaweza kuleta matokeo yenye faida au hasara kwa kampuni. Taarifa fupi ya Prisoner 46664 ingekamilika kama angeleta major investment decisions kwa miaka mitatu ya nyuma na jinsi ilivyo perform. A complete set of 3 years Financial Statement could tell the reason the reason as to why this BIG and HUG loss.
Sio kazi boss,...tafuta hela ya kulipa mishahara ya wafanyakazi kwa miaka mitatu..,halafu uwe tayari kupata hasara ya miaka miwili...na uwe na market penetration strategy..na bei yako iwe chini ya fast jet..ndege watakukodisha tu hakuna shida...hapo kwenye pricing, na mbinu ya kuingilia sokoni ndiko kunakozuia kila mtu asifanye biashara, sio tu ya ndege, bali nyingine nyingi...hivi ni kazi sana mtu kuanzisha kampuni ya ndege iwapo ukitafuta wafadhili nchi za nje??
Nitajitoa mhanga mimi kwa kujairibu
hebu mwenye idea yeyote tulizungumze hili
wataalamu ninawasubiri
Mkuu kaburu..walichofanya precision air kwa mwaka juzi ni naive investing..kama mimi kipindi kile naanza kufanya biashara ambapo nlikuwa napiga mahesabu na kuweza kumshawishi mtu kabisa kuwa naweza kugeuza milioni moja kuwa 5 ndani ya mwezi mmoja...kumbe kuna so many other factors yet to be considered... Ukiwauliza precision wanaweza wasijue ni kwanini walikuwa chaguo la watu wakati wa nyuma..watashindwa kujua kuwa sababu kuu ni kuwa walikuwa hawana mshindani, kwa hivyo wasafiri walikuwa hawana choice..ilikuwa ni kawaida sana kwa watu kulalamika kila siku kuwa ndege zinachelewa mara nyingi lakini hakuna kilichokuwa kinafanyika..kwa style hii, kuna uwezekano kuwa fast jet wangeweza kuja na strategy tofauti kabisa na hii ya bei..wakahakikisha tu within 6 months ya kuanza kwao kuna excellent customer care na hakutakuwa na flight - delays hata siku moja..I assure you, precision would have gone to its knees still...