neema shamuhenya
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 312
- 216
Lakini kwa nini wanakwenda kinyume na maelekezo waliyopewa ya kuyaendeleza???hapo watawaonea maana utakuta kwa mashamba hayo huenda walichukua mikopo mikubwa
hhahahah basi watapata tabu sanawamechukulia mikopo na Simba wasubiri waone kama watajengewa uwanja wakija kushituka timu tayari imechukuliwa mkopo
Kwahiyo Mo ni milionea?Bado kuna raia wanaamini Mo ni bilioner, hayo mashamba yamechukuliwa mikopo ambayo hailipiki leo wala kesho...
Sawa sawa acha sheria ifuate mkondo wake ,na yachukuliwe tuNaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula, amesema serikali itachukua baadhi ya mashamba yanayomilikiwa na Kampuni ya Mohammed Enterprises na kuwapa wananchi kwa kuwa wameshindwa kutimiza masharti ya uendelezaji wake.
Nchi hii ni mtindo wa kuzamishana majini kwenda mbele,wanamuona akipambana kiuchumi sasa hawataki aende mbele.Manji pia wanamsumbua,Marekani huyu ndo wa case study,but these mongers, wanatamani wamshushe chini.Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula, amesema serikali itachukua baadhi ya mashamba yanayomilikiwa na Kampuni ya Mohammed Enterprises na kuwapa wananchi kwa kuwa wameshindwa kutimiza masharti ya uendelezaji wake.
tatizo wafanyabiashara ni wajanja sanaNchi hii ni mtindo wa kuzamishana majini kwenda mbele,wanamuona akipambana kiuchumi sasa hawataki aende mbele.Manji pia wanamsumbua,Marekani huyu ndo wa case study,but these mongers, wanatamani wamshushe chini.
Duh wewe ni wa ajabu sana!hapo watawaonea maana utakuta kwa mashamba hayo huenda walichukua mikopo mikubwa
Truetatizo wafanyabiashara ni wajanja sana
Wewe unaogopesha, hata kukujibu ni waste of energy walahi!Nchi hii ni mtindo wa kuzamishana majini kwenda mbele,wanamuona akipambana kiuchumi sasa hawataki aende mbele.Manji pia wanamsumbua,Marekani huyu ndo wa case study,but these mongers, wanatamani wamshushe chini.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula, amesema serikali itachukua baadhi ya mashamba yanayomilikiwa na Kampuni ya Mohammed Enterprises na kuwapa wananchi kwa kuwa wameshindwa kutimiza masharti ya uendelezaji wake.
Kwahiyo Mo ni milionea?Kwahiyo Mo ni milionea?
lazima utaratibu ufuatweHe wanachokonoa dengu tena?
kwa hiyo waachwe tu?hapo watawaonea maana utakuta kwa mashamba hayo huenda walichukua mikopo mikubwa