Afrolink-Tz Consult Ltd
JF-Expert Member
- Feb 25, 2018
- 425
- 955
Kampuni ya masuala ya engineering katika upande wa umeme na mechanics inauzwa
Sifa za kampuni
1. Imesajiliwa mwaka 2008 na kuanza rasmi kazi zake mwaka 2010 baada ya kupata usajili CRB
2. Ina healthy client portfolio ya zaidi ya 100 clients
3. Imeshafanya na inafanya sana miradi mikubwa ya watu, makampn binafsi na serikali pia eg REA
4. Ipo active hadi ss na inafanya operations zake kama kawaida
5. Ina assets za kutosha
6. Madeni yapo ya kawaida tu hasa upande wa VAT (unaweza kuoffset VAT A/c). HAINA DENI BENKI
7. Location: Ipo Mbezi beach, mitaa ya Jogoo, plot 24, Block B
8. Bei: Itategemea wataka kununua kwa mtindo
A: Kuwalipa pesa itakayokubalika ambapo madeni utayarithi au
B:Kulipa jumla pamoja na madeni
Kwa kikao na majadiliano ya kina check us through
Email: info@afrolink.co.tz
Mobile: 0659 211 222/ 0777 777 766
Karibuni
Maswali yako mazuri!Ina asset gani, wafanyakazi wangapi, annual gross profit in shs. Ngapi in USD. Projects ngapi ziko mkononi
Nitakujibu, nawasiliana na wahusika ili kupata ruhusa ya kuweka wazi baadhi ya maelezo kwn walihitaji mteja kama anataka maelezo zaidi bhasi yawe sio publicMali zenu in zipi?
Nitakujibu, nawasiliana na wahusika ili kupata ruhusa ya kuweka wazi baadhi ya maelezo kwn walihitaji mteja kama anataka maelezo zaidi bhasi yawe sio publicAssets zenu upande wa machines ni zipi.?
Nitakujibu, nawasiliana na wahusika ili kupata ruhusa ya kuweka wazi baadhi ya maelezo kwn walihitaji mteja kama anataka maelezo zaidi bhasi yawe sio public
Niwie radhi kwa hili
Thanks Mkuuim interested na liabilities zake kwanza...
Vipi ni segment gani ya engineering?Thanks Mkuu
Madeni yapo lkn kw upande wa TRA kuna deni la VAT na corporate tax kiasi kidogo kama awamu 3 za malipo ya mwaka huu ya provision tax, pia walikuwa wanadaiwa interest ktk SDL na PAYE hawakuwasilisha lkn principal amount wameclear, NSSF kuna michango ya miezi ya karibuni haijawasilishwa. Madeni na wateja wanayo wanadai outstanding nzuri tu. Hapana mkopo wowote kutoka ktk taasisi za kifedha!
1. Segement: ELECTRICAL AND MECHANICAL ENGINEERING
2. Acquisation price: Around $200k
Kuna conditions ambazo zimewekwa pia km mtakubaliana bhasi take over itafanyika kwa kuwalipa directors then hizi taasisi nyingine ni kwenda kukaa nazo kufanya negotiations on how to clear debts
Kampuni za ujanjaujanja hizi, husemi assets na project mnazoendesha kwasasaKampuni ya masuala ya engineering katika upande wa umeme na mechanics inauzwa
Sifa za kampuni
1. Imesajiliwa mwaka 2008 na kuanza rasmi kazi zake mwaka 2010 baada ya kupata usajili CRB
2. Ina healthy client portfolio ya zaidi ya 100 clients
3. Imeshafanya na inafanya sana miradi mikubwa ya watu, makampn binafsi na serikali pia eg REA
4. Ipo active hadi ss na inafanya operations zake kama kawaida
5. Ina assets za kutosha
6. Madeni yapo ya kawaida tu hasa upande wa VAT (unaweza kuoffset VAT A/c). HAINA DENI BENKI
7. Location: Ipo Mbezi beach, mitaa ya Jogoo, plot 24, Block B
8. Bei: Itategemea wataka kununua kwa mtindo
A: Kuwalipa pesa itakayokubalika ambapo madeni utayarithi au
B:Kulipa jumla pamoja na madeni
Kwa kikao na majadiliano ya kina check us through
Email: info@afrolink.co.tz
Mobile: 0659 211 222/ 0777 777 766
Karibuni
Wafanyakazi wanaokula NSSF wanawezakua wangapi roughly?VAT: hapana ipo katika 'digit 8'
Class: Daraja la 4
Volume: Projects kubwa na ndogo zinafika zaidi ya 20 kwa mwaka. Na Sales Turnover ikishuka sana si chini ya mil 110+ kwa mwaka
Sababu za kuuza kampuni
Directors wapo wawili na wote ni Professional Engineers. Kila mmoja ana interest ya kuwa na kampuni yake separate. Suala la Technical director wapo humo humo ktk kampn
Kampuni za ujanjaujanja hizi, husemi assets na project mnazoendesha kwasasa
Achana nae huyo mkuu....Jifunze kuwa na hekma na busara na ustaarabu ktk mambo ya msingi. Unahitaji details za ndani unakaribishwa ofisini kuona faili lote na kujiridhisha. Mara ngapi hapo juu pameandikwa ufike ofisini na umeelwkezwa ofisi zilipo. Sijapenda lugha yako Mkuu!
Hb angalia wenzio wanaouliza!