Kampuni ni ya kwangu mimi wala siyo dalali. Kinachouzwa ni kampuni na siyo kituo cha mafuta. Kampuni ya mafuta siyo lazima iwe na kituo cha mafuta. Kwa wale wasiofahamu waulizeni wanasheria kama kampuni inaweza kuuzwa au la?
Kampuni nzuri sana, nimependa Goodwill yake! Ila elfu 50 ni kubwa sana, Fanya 35,000 Mkuu tukutane hapa "msambinangwa" tukabidhiane document na cash faster.
Kasema yale majengo amekodi sio yake ndio maana anauza laki 6,
By the way kaniambia ukinunua hii kampuni unapewa na lita 1,000 za Petrol za kuanzia kama offer ya mtaji
Kasema yale majengo amekodi sio yake ndio maana anauza laki 6,
By the way kaniambia ukinunua hii kampuni unapewa na lita 1,000 za Petrol za kuanzia kama offer ya mtaji