Kampuni ya mafuta (diesel, petrol, etc.) inauzwa

ThnkingAloud

JF-Expert Member
Sep 13, 2017
226
172
Kampuni iliyosajiliwa ya kuuza mafuta (diesel, petrol, etc.) inauzwa. Kwa taarifa zaidi ni pm.
 
Kampuni ni ya kwangu mimi wala siyo dalali. Kinachouzwa ni kampuni na siyo kituo cha mafuta. Kampuni ya mafuta siyo lazima iwe na kituo cha mafuta. Kwa wale wasiofahamu waulizeni wanasheria kama kampuni inaweza kuuzwa au la?
 
Kampuni nzuri sana, nimependa Goodwill yake! Ila elfu 50 ni kubwa sana, Fanya 35,000 Mkuu tukutane hapa "msambinangwa" tukabidhiane document na cash faster.
 
Mbona kampuni kubwa sana, alafu bei nafuu hivi? Yaani laki sita tu. Majengo yake mazuri, magari n.k
 
Mbona kampuni kubwa sana, alafu bei nafuu hivi? Yaani laki sita tu. Majengo yake mazuri, magari n.k
Kasema yale majengo amekodi sio yake ndio maana anauza laki 6,
By the way kaniambia ukinunua hii kampuni unapewa na lita 1,000 za Petrol za kuanzia kama offer ya mtaji
 
Mkuu Kama vipi nikodishie kampuni mpaka nitakapokuwa Na uwezo wa kuinunua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom