Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Kampuni ya wazee wa kujipimia kwa urefu wa kamba na kulamba asali, acha sisi wanyonge tuendelee kuwachangia tozo kwenye miamala ya simu na mabenki bila kusahau mchango wa mwenge....
Hata ukijua haitakusaidia. Punguza jazba na tafuta hela.
Ni sawa na mtu ukimkuta bar anatumia milion moja kunywea pombe, ukaanza kuuliza huyu mtu anatumia mshahara wake halali kweli?
NB: Hapa duniani kuna watu wanaishi na wengine wanapigania ili waishi. Punguza makasiriko, tafuta hela
Kumbe inasemekana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha wivu wa kimaskini
Yaani muibe tu musiulizwe.
🐎🐎🐎🐎Anyway hata wanunue Mia tatu malipo Ni hapa hapa.
Abdala kigoda alipokua mweka hazina wa CCM alikwapua mihela akanunua mabasi mengi tu SWABRA. Handeni Dar, Handeni tanga. Akawahonga polisi wawe wanakamata mabasi ya Hajees ili yake ya Pete. Mzee wa Hajees akaona isiwe tabu, alikua anajua maji yakijakwa pupa yasubiri yapite, akaondoa yake barabarani.
SWABRA Leo yako wapi?
Hata wakikwapua ma trilioni, watakula sahani moja Kama wengine, wstalala kitanda kimoja na pia wakifa kitakacho watenganisha na udongo Ni sanda tu.
Ni dhambi Kama source ya utajiri Ni wizi na ulaghai.Hahaha wanahisi kuwa tajiri ni dhambi
Bosi wao ‘Bi Tozo’ alishatoa kibali ni halali kugawa tender kwa malipo mradi contractor ana uwezo wa kumaliza kazi.
Kwenye kupigilia jeneza msumari akaweka na msisitizo PPRA ipunguze kiherehere cha chunguza sana merit za tender inawacheleweshea kazi.
Tetesi za mtaani mwenye hayo mabasi, mtaji ni kiinua mgongo cha tender ya SGR aliyowapa wachina. Chances are boss boss anafahamu kila kitu; kutesa kwa zamu.
esta is equal to Mwigulu Nchemba squad
Mabasi Mia Ni hela ndefu bro, halafu huyo huyo ndio anakazia Mambo ya tozo.
Mimi Nina Corolla 1998 model lkn nimeinunua kwa jasho langu. Hao walionunua mabasi Mia tunawajua sio kwamba tunasema tu.Una miliki bei gani jombaa ? Acha kabisa mawazo ya kifakiri
ukienda ugenini ukakuta wenyeji wako wanatembea kwa kuchechemea na wewe chechemea, ama sivyo watakujua tu wewe ni mgeniBaba ako amewahi kumiliki nini ? Kama umerithi kufuatilia mambo ya watu sahau kabisa kufanikiwa
Anyway hata wanunue Mia tatu malipo Ni hapa hapa.
Abdala kigoda alipokua mweka hazina wa CCM alikwapua mihela akanunua mabasi mengi tu SWABRA. Handeni Dar, Handeni tanga. Akawahonga polisi wawe wanakamata mabasi ya Hajees ili yake ya Pete. Mzee wa Hajees akaona isiwe tabu, alikua anajua maji yakijakwa pupa yasubiri yapite, akaondoa yake barabarani.
SWABRA Leo yako wapi?
Hata wakikwapua ma trilioni, watakula sahani moja Kama wengine, wstalala kitanda kimoja na pia wakifa kitakacho watenganisha na udongo Ni sanda tu.
Bosi wao ‘Bi Tozo’ alishatoa kibali ni halali kugawa tender kwa malipo mradi contractor ana uwezo wa kumaliza kazi.
Kwenye kupigilia jeneza msumari akaweka na msisitizo PPRA ipunguze kiherehere cha chunguza sana merit za tender inawacheleweshea kazi.
Tetesi za mtaani mwenye hayo mabasi, mtaji ni kiinua mgongo cha tender ya SGR aliyowapa wachina. Chances are boss boss anafahamu kila kitu; kutesa kwa zamu.
Sasa 200 ni nyingi?,Unajua abood ana mabasi mangapi?Basi zaidi ya 200!?..zitaenda ruti gani!?..muwe mnapunguza chumvi mbuzi nyie
Una haki ya kuuliza,achana huyu hajui haki zake ka mwananchiTunaulizia Kodi inalipwa halali?