Wakuu habari
Kampuni ya microcredit inauzwa baada ya kushindwa kujiendesha. IPO vizuri IPO DSM na ilishafanyiwa annual return.
Karibuni. Documents zote ,zipo.
Ushirikiano upo wa kukamilisha umiliki.
Annual ReturnWakuu habari
Kampuni ya microcredit inauzwa baada ya kushindwa kujiendesha. IPO vizuri IPO DSM na ilishafanyiwa annual return.
Karibuni. Documents zote zipo.
Ushirikiano upo wa kukamilisha umiliki.
Dah mkuu umeuliza kiufundi sana. Akikujibu naomba unitag@ndege JOHNMmmmmh pamoto hapo nilikua sijui Kama kampuni ya pesa inaweza kuuzwa...Ina maana inauzwa ikiwa na zero zero zimepangana au unaikuta na fedha zake....Sasa kwa mfano Ina akiba ya billion 10 wewe utainunua kwa shingapi?Kama utainunua kwa Zaidi ya billion kumi SI bora ufungue ya kwako mpya???anyway tusubiri maoni ya Wengine

Sio wakikopeshe wewe uendeleze utakua unawalipa polepoleSasa si wajikopeshe, waendeleze biashara!?![]()
Yaani imeshindwa Kujiendesha halafu unasema iko vizuri??Wakuu habari
Kampuni ya microcredit inauzwa baada ya kushindwa kujiendesha. IPO vizuri IPO DSM na ilishafanyiwa annual return.
Karibuni. Documents zote zipo.
Ushirikiano upo wa kukamilisha umiliki.
Kwani benki huwa haiuzwi??Mmmmmh pamoto hapo nilikua sijui Kama kampuni ya pesa inaweza kuuzwa...Ina maana inauzwa ikiwa na zero zero zimepangana au unaikuta na fedha zake....Sasa kwa mfano Ina akiba ya billion 10 wewe utainunua kwa shingapi?Kama utainunua kwa Zaidi ya billion kumi SI bora ufungue ya kwako mpya???anyway tusubiri maoni ya Wengine
Uzuri sijui uko wapiYaani imeshindwa Kujiendesha halafu unasema iko vizuri??
Au sijakuelewa??

Nitumie namba yako pm tuyajengeWakuu habari
Kampuni ya microcredit inauzwa baada ya kushindwa kujiendesha. IPO vizuri IPO DSM na ilishafanyiwa annual return.
Karibuni. Documents zote zipo.
Ushirikiano upo wa kukamilisha umiliki.