Mnahitaji magari ya aina gani? Na bei zikoje per day?advance mwanzo wa kazi na unamaliziwa iliyobaki mwisho wa kazi,
dereva wa kwako,
bei maelewano.
gari zozote tunapokea ambazo zitafaa kwa shughuli za sherehe.
Mhh watu wanafnya kama kawaida .hiyo mikwala tu[emoji23][emoji23] kama huna gari kaa pembeni , wote sheria tunajuaKwanza hakuna sheria inayoruhusu gari binafsi kufanya biashara.
Hapo inabidi mwenye hilo gari binafsi aende TRA akabadilishe matumizi ya gari iwe ni Commercial na alipe kodi kama mfanya biashara.
Na akifanya kinyume na hapo,likitokea tatizo basi jela inamuita.
Akistukiwa na TRA au Majembe basi ataambulia fine tu,ila ikitokea ajali basi lazima ichunguze kama ni gari ya biashara au binafsi.
Najua kwa DAR wengi sana wanafanya kienyeji,ila ifahamike tu likitokea ujue imekula kwako.Tunapoelekea siko.Watu wanakusanya kodi hata ukijamba
Najua utakuwa waleeee wa DARMhh watu wanafnya kama kawaida .hiyo mikwala tu[emoji23][emoji23] kama huna gari kaa pembeni , wote sheria tunajua
Hivi kuna kitu kinaitwa Uber je unakijua? Na znz kimefika? Nadhan utakua umenipata. ukiweza kunielewesha hawa wanafanyaje kazi na wenye magari basi utakua umenisaidia sana maana sijaona sehem inayosema mtu aende TRANajua utakuwa waleeee wa DAR
Unajua Sheria?hongera sana kama ndio mmefundishwa na umefundishwa hivyo.Acha kutia aibu wa DAr
Hayo maisha yenu ya kubahatisha hayo ndio ikitokea changes ya kukaza sheria mnaona maisha Magum
Kwa taarifa yako tu,namiliki magari sio gari(Dar ya Biashara,Zanzibar kwenye Utalii).Nakuambia ninachokijua kuhusu biashara ya magari.
Zanzibar heshima ni mwenye Vespa na Sio Gari.Huku kwetu rahisi tu kununua gari
Lakini ukweli ndio huo,kwamba mfumo wa biashara hiyo sio halali mpaka Gari zibadilishwe matumizi kuwa ya biashara.
Acheni kubahatisha maisha mjini,wakati sio
Mbona hii kampuni ya FAB CARS wanafanya wengine hatupend kupanda Gari namba nyeupe mpaka mujue nimekodi alaaaMhh watu wanafnya kama kawaida .hiyo mikwala tu[emoji23][emoji23] kama huna gari kaa pembeni , wote sheria tunajua
ni kweli kabisaMbona hii kampuni ya FAB CARS wanafanya wengine hatupend kupanda Gari namba nyeupe mpaka mujue nimekodi alaaa