Kampuni nzuri kwa blog (Popads, Adsense nk)

Rdj Shibo

Member
Joined
Jan 5, 2018
Posts
81
Reaction score
53
Kama hapo kichwa kinavyosema, nilikuwa naomba tujuzane ni kampuni ipi nzuri kwa bloggers ili kuweza kupata faida kutokana na blog yake. Najua wapo waliofaidika na wanaofaidika hivi sasa na walioingia hivi karibuni kwenye hayo mambo. Itakuwa vyema endapo tukipeana maelezo na ni vipi twaweza saidiana.

Ahsante.
 
Nasubr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…