Hawa BOL according to their website wapo mikocheni ila pia ndio wanaitwa SMART; nadhani mpaka sasa line zao zipo kwa ajili ya smartphones, ingawa pia inachagua smartphones kuna mdau alikuwa na Tecno haikufanya kazi..., nimeijaribu kwenye modem / universal modem sikuwa na mafanikio mazuri..
Ila investment ya 2000/= sio mbaya wewe jaribu huenda kwa kazi unazofanya / sehemu ambayo upo itakufaa.., hata kama ofisi zipo mbali wapigie kwenye hii namba ya kwenye site yao watakupa namba ya wakala wa karibu 0798 798798