Next week trend!? Are you a witch too!hahahah Bavicha bha kwakuwa huwa mnavamia vitu mnafikiri soko la hisa ni kama kununua mchele.... hali ya soko ya hisa hutafsiriwa kila wiki...nina kuhakikishia wiki ijayo hutoleta habari tena ya kuhusu soko la hisa...au kama una kumbu kumbu twambie wiki iliyopita mtaji ulikuwaje?
Hii nchi sasa hivi inatia aibu !NAKUMAT mlimani City leo imefungwa kisa wanadaiwa kodi(pango).
Nafikiri utakuwa na tatizo kichwanihiyo ni dalili uchumi wa nchi unakua kwa kasi sana
Chakubanga je? Mange ni reliable source maana saro limeitikaWewe bavicha siku hizi umepoteza kabisa...Mange ndiyo kimbilio lenu kwa sasa
HALI ngumu ya kiuchumi imesababisha ukubwa wa mtaji wa kampuni kubwa zilizoorodheshwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), kushuka kutoka Sh. trilioni 20.8 hadi kufikia SH. trilioni 20.4.
Akizungumza na waandishi jijini Dar es Salaam, Ofisa Masoko wa DSE, Merry Kinabo ameyasema hayo leo.
Alitaja kampuni hizo kuwa ni pamoja na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na Benki ya CRDB.
Ametaja sababu iliyochangia ukubwa wa mtaji wa kampuni hizo kushuka ni pamoja na kushuka kwa bei za hisa za KCB kwa asilimia 14, East Afrika Breweris Ltd (EABL) kwa asilimia 0.73 na National Media Group ( NMG) kwa asilimia 0.42.
Kinabo amesema kampuni zilizoorodheshwa katika Soko la Hisa (DSEI), zimeshuka kwa point 38 yaani kutoka 2,162 hadi 2,124 kutokana na kushuka kwa bei za kampuni ya KCB.
“Yaliyojiri kwenye soko la hisa kwa wiki iliyoishia Ijumaa iliyopita Oktoba 13, mwaka huu ukubwa wa mtaji wa makapuni ya VODA, TBL na CRDB umeshuka kimtaji pamoja na soko la DSEI zimeshuka kwa point 38 kutoka 2,162 hadi 2,124,’’ amesema
Aidha, thamani ya mauzo ya hisa imepanda kutoka Sh. Bilioni 1.5 ya wiki iliyoisha tarehe 13 0ktoba 2017 hadi Sh. Bilioni 30 na idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa imepanda kutoka hisa laki 6 kwa wiki iliyoisha Oktoba 13 2017 hadi hisa milioni 2.5 .
Kampuni zilizoongoza kwa mauzo ya hisa ni kampuni ya VODA ,CRDB na TBL huku kampuni ya TSI ikipanda kwa point 11 kutoka point 3,814 hadi pointi 3,825 na kiashiria cha sekta ya viwanda (IA) kimepanda kutoka point 5,161 hadi 5,187.

washuke tu mitaji hakuna namna japo kundi kubwa halikubali kuwa hali ya kiuchumi si nzuri kwa hiyo washuke tu tena nashangaa wanashuka slow sana nahisi kua wanapika taarifa itakua wame drop sanaHALI ngumu ya kiuchumi imesababisha ukubwa wa mtaji wa kampuni kubwa zilizoorodheshwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), kushuka kutoka Sh. trilioni 20.8 hadi kufikia SH. trilioni 20.4.
Akizungumza na waandishi jijini Dar es Salaam, Ofisa Masoko wa DSE, Merry Kinabo ameyasema hayo leo.
Alitaja kampuni hizo kuwa ni pamoja na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na Benki ya CRDB.
Ametaja sababu iliyochangia ukubwa wa mtaji wa kampuni hizo kushuka ni pamoja na kushuka kwa bei za hisa za KCB kwa asilimia 14, East Afrika Breweris Ltd (EABL) kwa asilimia 0.73 na National Media Group ( NMG) kwa asilimia 0.42.
Kinabo amesema kampuni zilizoorodheshwa katika Soko la Hisa (DSEI), zimeshuka kwa point 38 yaani kutoka 2,162 hadi 2,124 kutokana na kushuka kwa bei za kampuni ya KCB.
“Yaliyojiri kwenye soko la hisa kwa wiki iliyoishia Ijumaa iliyopita Oktoba 13, mwaka huu ukubwa wa mtaji wa makapuni ya VODA, TBL na CRDB umeshuka kimtaji pamoja na soko la DSEI zimeshuka kwa point 38 kutoka 2,162 hadi 2,124,’’ amesema
Aidha, thamani ya mauzo ya hisa imepanda kutoka Sh. Bilioni 1.5 ya wiki iliyoisha tarehe 13 0ktoba 2017 hadi Sh. Bilioni 30 na idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa imepanda kutoka hisa laki 6 kwa wiki iliyoisha Oktoba 13 2017 hadi hisa milioni 2.5 .
Kampuni zilizoongoza kwa mauzo ya hisa ni kampuni ya VODA ,CRDB na TBL huku kampuni ya TSI ikipanda kwa point 11 kutoka point 3,814 hadi pointi 3,825 na kiashiria cha sekta ya viwanda (IA) kimepanda kutoka point 5,161 hadi 5,187.
Mange yupo hata keshoakaunti ya Mange imefungiwa sijui umbea utautolea wapi tena
Nakumat ametimuliwa na mmiliki wa jengo kwa kutomlipa fedha zake za pango. Hili halina uhusiano na kodi ya serikali na wala haiitwi kodi ya pango. Ni gharama ya pango. Huyo mwenye jengo ukishamlipa ndiye atatozwa kodi ya mapato hayo uliyomlipa kwa kiwango cha 30%. Sasa mtu akae kwenye jengo hilo ambalo si lake bure? Kama si utapeli ni nini? Kama hawezi kumudu gharama za pango za jengo hilo si akapange Kariakoo au Mburahati ambako gharama za pango ni nafuu?Tahadhari kubwa inahitajika tusijewafuata wagiriki na wanazimbombo.
Uchumi siyo kama sindando ukaficha kwenye kotti, ukishuka au kupanda utaonekana kwa macho na siyo makaratasi
Nakumat wameshaelekea ushetanini frm malaika zone,
Ni jambo lakusikitisha kuweka mazingira magumu ya biashara katika nchi .
Ilitakiwa tuwe na uchumi wa uzalishaji na siyo uchumi wa kukomoana kwenye tax
Makampuni yakishatangaza kuuza hisa wanakuwa wameshazikabidhi kwa madalali na kuwekwa sokoni. Sidhani km ni rahisi km kurudisha mbuzi nyumbani.Hata wanahisa wakubwa wakitaka kuongeza hisa watahitaji kununua sokoni tuu.Kupanda na kushuka kwa bei za hisa na mtaji wa makampuni huchangiwa na vitu vingi sana, hilo anguko LA kimtaji LA 0.4 trillioni ni kubwa, lakini muda mwingine makampuni huamua wenyewe kupunguza mauzo ya hisa. HIZO NI CHANGAMOTO ZA KAWAIDA KWA SOKO LA HISA
Uchumi wa rasilimali ambazo zipo duniani pia sio kitu cha kujiamini,hata nchi km dubai zenye gas na mafuta mengi huku wan watu wachache. Wlaishaliona mapema. Tulipaswa kuwa na uchumi unaokuwa kwa uzalishaji na mbinu bora za uchumi ili tuweze control treni yetu ya uchumi.Tanzania ni miongoni mwa nchi 5 barani Africa ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi
Wajamaa hata ukichemsha mbegu na kumpa mwenyekiti wao awaambie wanalima.ukiwaambia hazioti hawatakuelewa, kwa vile mwenyekiti pekee ndio ana fikra za kweli.Wengine wote hawana uzalendo.Watakuambia subiri uone.Watasema "Ili mbegu iote inapindi ife kwanza" bila kujali hali ya mbegu