Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,138
wachina na wahindi mhii, ukiwasimamia vizuri wote wanapiga kazi safi sana, ila ukicheka nao ndo hivo tenaWana Jf nataka kufahanishwa Baina ya Makampuni haya ya Ujenzi ambayo nayaona yanatawala sana hapa Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla na Wamiliki wake ni kina nani? Na lipi lina zana kwa maana ya vifaa bora vya ujenzi, rasilimali watu, kazi bora na nk, Lipi lipo juu kiufanisi?
(i) Estim Construction
(ii) CRJE
(iii) Group Six International
Nawasilisha!!
Daah..... kumbe na hao jamaa mpaka wasimamiwe!!!!wachina na wahindi mhii, ukiwasimamia vizuri wote wanapiga kazi safi sana, ila ukicheka nao ndo hivo tena
Mkuu unamaanisha nn hpo?wachina na wahindi mhii, ukiwasimamia vizuri wote wanapiga kazi safi sana, ila ukicheka nao ndo hivo tena
Wadau,Mkuu unamaanisha nn hpo?
Labda anataka kujenga ghorafa mkuu sio wote wanaisoma namba!Wadau,
Nashangaa nyuzi kama hii inaweza saidia nini mtu!
Estim ni ya jeetu patelWana Jf nataka kufahanishwa Baina ya Makampuni haya ya Ujenzi ambayo nayaona yanatawala sana hapa Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla na Wamiliki wake ni kina nani? Na lipi lina zana kwa maana ya vifaa bora vya ujenzi, rasilimali watu, kazi bora na nk, Lipi lipo juu kiufanisi?
(i) Estim Construction
(ii) CRJE
(iii) Group Six International
Nawasilisha!!
Wako vizuri kuliko wengine hao?Estim ni ya jeetu patel
Nenda kaulize Brela.Wana Jf nataka kufahanishwa Baina ya Makampuni haya ya Ujenzi ambayo nayaona yanatawala sana hapa Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla na Wamiliki wake ni kina nani? Na lipi lina zana kwa maana ya vifaa bora vya ujenzi, rasilimali watu, kazi bora na nk, Lipi lipo juu kiufanisi?
(i) Estim Construction
(ii) CRJE
(iii) Group Six International
Nawasilisha!!
Nenda kaulize Brela.
Brela ndio wanaosajili makampuni, wanawajua wamiliki na uwezo wa makampuni walioyasajili(kama hakuna ubabaishaji).Bra
Braza umepatwa na mihangaiko hipi....mbona unajibu kama unamasrahi binafsi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Serengeti Breweries ndio kiboko cha kujitangaza. Tangazao lao la bia mpya ya sengereti limewagusa mpaka chekechea mitaani.
Ingawa bidhaa yao ina ukomo wa umri wa watumiaji kama sikosei miaka 18 kuelekea mpaka ukipenda kaburini. Cha kushangaza leo nimepishana na mtoto kama wa miaka 5 hivi ua chini ya hapo kidogo, akiamba wimbo wa "lete bia ninywe" wahusika mtusaidie tuokoe taifa la kesho.
Nimechomekae tu lakini, kwa sauti ya mh Rais Magufuli.
Na washawasha!
Mkuu vp CRJE!! [emoji39] [emoji39]Estim wapo poa ukija kwenye swala la ubora.
Group Six ni bora linapokuja swala la kazi nyingi ila ubora ni ziro. Hawa unaweza ukakuta wana project hata zaidi ya 10 zinaendelea kwa wakati mmoja.
Mkuu vp CRJE!! [emoji39] [emoji39]
Asante mkuuSijajua kuhusu portifolio yao.
Estim ni ya jeetu pate
Between hao nani ana miliki Sayona na Kiboko (Motsun Group )[emoji39] [emoji39] [emoji39]Acha kuchanganya mambo Subash na JEETU ni watu wawili tofauti!! Subash ndio mwenye ESTIM; huyu ni mkweree ndugu yake babu wa Msoga!!