Mkuu nenda properties,wanamradi mkubwa tu huko...hawnaa longo longo, unalipia kila mwezi hadi miaka 24, pia ukiona jau....wanabenk wanaingia naonmikataba,benk inalipa Kisha wewe unalipia benk.....kiwanja chako ndio dhamana.....ukimaliza tu unapewa hati ya wizara bila chenga.....wapo kariakoo, maeneo ya shule ya Benjamin mkapa. Utakuja kunishukuruuuuuuuuuu