Senorita23
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 390
- 489
Si shobo zake mwenyewe kwani angemchunia pindi anavyopita angepungukiwa nn...?
Mdada ana pango la wanyang'anyiNa itakua kweli huyo kaka ana kibamia mwanaume mwenye mashine ya kutosha ukimwambia hivyo anabaki kucheka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hoja ni salamu, sio kidudu wala lishimo!MIAFRIKA BANA sasa kama anakidudu kidogo alitaka aambiwe analidudu likubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye pango unapita wima!!
Imekuwa hivyo!
InawezekanaHuyo mwanamke kuachana na jamaa inaonekana ilimuumiza sana
Angemuua !!!Mliamulia ili iweje, mngeacha angalau atolewe jicho au showroom(meno ya mbele)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwepo mkuu na nilishuhudiaRekebisha mwandiko...ni kama umesimuliwa then ukaja kuandika ulichosikia
Sent using Jamii Forums mobile app