The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Huyo dada anadharau sana. Kwan angemjib vixur yangetokea hayo yote? Mdomo umemponzaHbari za weekend wana jf
I hope weekend imeenda poa kama kuna shiit ime happened jus holling up front and ignore shiit always happen.
Niende kwenye mada
Weekend hii nilkua kijiweni kimoja na washkaji tuna make some story sasa akapita dada mmoja ambae alkua x wa mshkaji wangu
Jamaa akampiga mkono akamsimamisha demu akaja juu akamuambia achana na mimi mwanume gani una kidudu kama cha mtoto mdogo kibamia loooh
Jamaa kuambiwa mbele za watu na tulikua mixer aisee jamaa alibadilika
.daah alimpiga yule dada saana nusura amuue aisee alimpiga mateke ya kwenye mbavu ngumii yaani kama anapiga mwizi aisee tukaenda kumuokoa jama alkua kama anakichaa high temper tukabidi tumtulize aisee.
Demu alishindwa kuamka amepelekwa hosptal hali yake atleast inaendelea vizurii kiasi
Ndo yaliyojiri mtaani kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah kila mtu kamuambia ulivopigwa ni haki yako kabisaaaHuyo dada anadharau sana. Kwan angemjib vixur yangetokea hayo yote? Mdomo umemponza
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha spewe haki yake ya msingi. Sijawahi n.a. sina mpango wa kuinua mkono wangu kumgusa mwanamke (kumpiga), lakini kwa majibu ya huyo mdada ingenilazim tu nimzibue kidogo.Hbari za weekend wana jf
I hope weekend imeenda poa kama kuna shiit ime happened jus holling up front and ignore shiit always happen.
Niende kwenye mada
Weekend hii nilkua kijiweni kimoja na washkaji tuna make some story sasa akapita dada mmoja ambae alkua x wa mshkaji wangu
Jamaa akampiga mkono akamsimamisha demu akaja juu akamuambia achana na mimi mwanume gani una kidudu kama cha mtoto mdogo kibamia loooh
Jamaa kuambiwa mbele za watu na tulikua mixer aisee jamaa alibadilika
.daah alimpiga yule dada saana nusura amuue aisee alimpiga mateke ya kwenye mbavu ngumii yaani kama anapiga mwizi aisee tukaenda kumuokoa jama alkua kama anakichaa high temper tukabidi tumtulize aisee.
Demu alishindwa kuamka amepelekwa hosptal hali yake atleast inaendelea vizurii kiasi
Ndo yaliyojiri mtaani kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo umtangazee??Na itakua kweli huyo kaka ana kibamia mwanaume mwenye mashine ya kutosha ukimwambia hivyo anabaki kucheka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu angeweza amuue aisee...Mlifanya makosa kuwaachanisha mngewaacha waadabishane
Apigwe tu maana hamna namna