Na vile vile hakuna dhambi mtu akiomba uongozi na akachaguliwa hata awe mtoto wa Rais. Ndesamburo mwanawe viti maalum,Tundu Lisu dadake viti maalum,Mke wa pili wa Slaa viti maalum Chadema,Mbowe mkewe mdogo Mukya naye viti maalum kwa nini iwe tatizo kwa CCM tena wanagombea na hatima yake watachaguliwa na wapiga kura mnatishwa na nini haswa au mnawashwa na nini na nyie kwa kimbelembele hamjambo!