Nimeiona leo video yake on Facebook, jamaa yupo vizuri sana kwenye kujenga hoja,,,,,yupo vizur even though anatumia vionjo vya kuchekesha ila ukweli hatok nje ya mada,yaani ule usanii pia anautumia kufikisha ujumbe.... la pili the guy is so simple the way anavyovaa,havai kikomedi ila anavaa kawaida sana na wala havai sare za chama yaan CUF anavaa tu nguo za kawaida,Watu naona wanamsikiliza kwakweli I mean wa kutosha