Leo JK Kikwete alikuwa wilaya ya Kyela kumalizia kampeni zake mkoani Mbeya.
Jana Ridhiwani alitangulia ili kuweka mazingira sawa na alipewa sharti la kuhakikisha mkuu wa mkoa asihudhurie huo mkutano au hata kama atahudhuria basi asiongee.
Mteja mfalme JK alitii hayo na kwa kweli RC alihudhuria na kubaki kama sanamu.Wanakyela walipanga kuondoka uwanjani kama RC angepewa nafasi ya kuongea.
Huwezi amini mapokezi aliyoyapata JK mpaka aliingia dimbani kucheza.
Mafanikio ya ziara hiyo uko Kyela wa kupongezwa ni Dr Mwakyembe ambaye alipita uku na kule kuwasihi wananchi wasije tibua kampeni kwa kinyakyusa alikuwa akisema"ngubhasuma bha tata"
Kwa kushirikia na Mwandosya jazba za wanakyela ilishuka na JK alihutubia kwa amani na kuahidi mambo kedekede ikiwemo kuweka rami barabara ya matema.
Pole Mwandosya kwa kuhangaika mkoa mzima kumnadi JK na Mwakyembe kwa kumnadi JK kyela na kuepuka jazba ya wanakyela.
Kuna TETESI kuwa Chunya alizomewa mwenye news atuhabarishe

hivi Ridhiwani ni nani kichama na kiserikali?, kaazi hipo mwaka huu
Njowepo,Kuna maeneo RC huwa anasimama kuwakaribisha wageni iwe upinzani au CCM bse ndo anakuwa mwenyeji wako,several time Kyela keshawai simama na kuongea.
Mbali na ahadi ya Lami kwenda Matema beach pia kaahidi kivuko na meli kwa Lake Nyasa alafu akaishia kusema kuna watu wanataka nisiahidi watu wakacheka nadhani alikuwa anarefer CHADEMA.
Ndo maana ata pale Jangwani Gama alikuwepo siku ya ufunguzi wa CHADEMA ila wakaogopa tuu kumwambia salimia watu bse vurugu zingezuka