MATANGO MAKUBWA
Member
- Oct 7, 2012
- 39
- 5
Jamani aliyeko huko chalinze atujuze kampeni za CHADEMA maana CCM kama kawaida wamenunua vyombo vya habari tunaona news zao za Ridhiwani lakini CDM hadi sasa wiki inaelekea kutimia hakuna tunacho sikia! Mtujuze mlioko huko Chalinze....
Mgombea wa Chadema analalamika wamemkimbia amebaki kama mtoto yatima.
Mgombea wa Chadema analalamika wamemkimbia amebaki kama mtoto yatima.
Najua yule mgombea ana bucha zake pale Chalinze ataziuza zote kupata pesa za kampeni, atakosa bucha na ubunge.Mkuu Ritz
Chopa zinapelekwa kwa wagombea vimada tu?? Mkuu fanya ubinadamu chukua nafsi ya kampeni manager Chadema hapo Chalinze angalia tupate upinzani; babu hajatia mguu chalinzee??
Nasikia safari hii wanashuka na chopa kumiTunasubiri chopa na kucc kwa Yericko Nyerere na Mohamedi Mtoi watakujuza!
Taarifa sahihi zipo.. CHADEMA tunafanya kazi vizuri... Jumamosi hii tumefanya kazi kubwa sana mkange, mdaula, Lunga, Diozile, na Masimbane. Tutajitahidi kuwajuza habari ZaidiJamani aliyeko huko chalinze atujuze kampeni za CHADEMA maana CCM kama kawaida wamenunua vyombo vya habari tunaona news zao za Ridhiwani lakini CDM hadi sasa wiki inaelekea kutimia hakuna tunacho sikia! Mtujuze mlioko huko Chalinze....
Wewe mtu mzima leta hoja si uzushi!Nasikia safari hii wanashuka na chopa kumi
Unauhakika kuna bucha za mgombea pale chalinze?Najua yule mgombea ana bucha zake pale Chalinze ataziuza zote kupata pesa za kampeni, atakosa bucha na ubunge.
kwa makadirio tutarajie chadema itaibuka na ushindi wa asilimia ngapi mkuu?Iwapo nyie ni wapenda demokrasia si ushabiki njooni sehemu zifuatazo mjue Chadema ipo kazini.. Watenda kazi ni wengi wenye ufahamu mzuri wa siasa za ushindani.
Leo jumapili tuko:
Kiwangwa, Pingo, Pera, Mindutulieni, Kwaikonje, Kilemela na Mandela. Maeneo yote haya kazi nzuri inafanyika. Wanaopiga kilele saana ni ishara ya kukamatika..
Najua yule mgombea ana bucha zake pale Chalinze ataziuza zote kupata pesa za kampeni, atakosa bucha na ubunge.
kwa makadirio tutarajie chadema itaibuka na ushindi wa asilimia ngapi mkuu?
Unataka kusema ni mchoma mahindi??Unauhakika kuna bucha za mgombea pale chalinze?
Nasikia safari hii wanashuka na chopa kumi