Kampeni za CHADEMA Arumeru - Updates

mkutano wa mwisho leo uko hapa akeli karibu kabisa na nyumbani kwa sumari, watu ni wengi sana huwezi kuamini kama ni nyumbani kwa sumari..)yuko dr slaa nasari, lema, na madiwani

Hii imekaa vizuri! Inaonyesha hata marehemu aliiba kura
 
nasari anasema ni miaka 50 hakuna barabara, wamama wanajifungulia chini, hakuna maji..anasema arumeru kila mwezi inapata mil 40 kwenye mfuko wa jimbo lkn miladi haionekani....anatoa takwimu za mfumuko wa bei

Tupo pamoja kamanda.
 
mkutano wa mwisho leo uko hapa akeli karibu kabisa na nyumbani kwa sumari, watu ni wengi sana huwezi kuamini kama ni nyumbani kwa sumari..)yuko dr slaa nasari, lema, na madiwani
mbona unajichanganya?
BTW, watu kuhudhuria kwa wingi kwenye mikutano siyo kigezo cha kupata ushindi!
 
Pamoja na manyunyu ya mvua nwananchi wamekomaa kumsikiliza mhe. Mbuge mtarajiwa Nassari.
 
Kamanda yegella upo juu kama saa ya ukutani,upo juu sana mkuu...tupe zikiwa bado za moto ili masaburi waungue
 
Sasa hii habari utaihamishia kwenye thread ngapi? huna kingine cha kusema?
 
Hii imekaa vizuri! Inaonyesha hata marehemu aliiba kura

Kamanda hilo la wizi wa kura ilishajulikana kitambo,

Na mwisho wao ndio ilikuwa ile.
Safari hii ni msako gheto kwa gheto!
Mpaka Watanzania wakomboleke!

Hawa sisiem wamezidi na wizi na hata hawana aibu chembe!
 
HAIJALISHI...Tunachoangalia ni nani anakuwa mshindi regardless ametumia tactics gani!

Mkuu Arumeru hamchomoki hata kwa hizo tactics za magumashi...zinajulikana na zinaendelea kujulikana na mbinu za kukabiliana nazo zinapangwa na makamanda kila siku.
 
wazee wa chenga twawala hao,wasikuumize kichwa
 
Mkuu Arumeru hamchomoki hata kwa hizo tactics za magumashi...zinajulikana na zinaendelea kujulikana na mbinu za kukabiliana nazo zinapangwa na makamanda kila siku.
Hata Igunga na Uzini mlisema hivi hivi...matokeo yake nadhani uliyaona!
 
mbona unajichanganya?
BTW, watu kuhudhuria kwa wingi kwenye mikutano siyo kigezo cha kupata ushindi!

Mkuu ni kuhakikishie kwa hali ilivyo Arumeru hamchomoki.....
 
Hata Igunga na Uzini mlisema hivi hivi...matokeo yake nadhani uliyaona!

Ukilinganisha Igunga, Uzizini na meru utakuwa unafanya kosa kubwa....
 
Dr. Slaa na Mbunge wa Arumru akiwasili kwenye viwanja vya Ekeli mita kumi kutoka kwenye makaburi ya Sumari...
 
Polisi wakiwa wamekuja kuhakikisha usalama hata hivyo polisi hao walikosa kazi kwani mkutano ulkuwa salama salimini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…