Viongozi wasipojirekebisha hasa kwenye mambo yanaonesha upendeleo kwa kundi fulani na kupuuzwa kwa kundi fulani.Kampeni za uzalendo zitakuwa ni propaganda tu.
Hakika. Wangetenda tu matendo ya kizalendo, kila mtu angebadilika, bila hata kutumia pesa nyingi kuandaa vitabu na makongamano. Kwenye mkutano wa uzalendo jana sikuona uwakilishi kutoka makundi mengine yenye mawazo mbadala, zaidi ya kuona U-CCM ukitawala mwanzo mwisho