Kampeni ya Kukataa Kunywa Coca Cola

Status
Not open for further replies.

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Jana nimepata story moya kwamba kuna kundi moja la dini linapiga kampeni kali sana ya kutokunywa kinywaji tajwa hapo juu kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo matangazo yake ya kuhamasisha ambayo yana muonesha MBWA aliye haramu kwao akiwa ameing'ata koka kola
 
sababu nyingine ni maandishi ya mcharazo ambayo yanatafsiri pana sana kwa lugha fulani ambayo ni ya kudhalilisha kiongozi fulani
 
wanakataa kunywa cocacola lakini wanazini, wanalewa, wanasema uwongo, wanaiba.
 
Wapi ulisikia hizo habari?Au ndio chokochoko za asubuhi?
 
Reactions: ADK
Mkuu nchi hii kwasasa inaamani kubwa upande wa dini hvyo tujaribu kuangalia kauli tunazo toa kabla hatujatoa maneno hayo adhalan
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…