MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Aksante kwa kuniwakilisha dokta Wa mwitongoMwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa kampeni za Ubunge Jimbo la Ukonga unadhisha kuwa wananchi kwa muda mwingi wamekosa mikikimikiki ya wanasiasa majukwaani, lakini pia unatoa picha kuwa wananchi wameondoka kuwa bendera fuata upepo na kubaki kuwa madhubuti katika harakati za mageuzi ya mifumo nchini.
Kwa mtindo huu 2020 wale jamaa wakubebwa wanaweza kupata tabu sana endapo vyama kinzani vitaendelea kutuletea damu changa Kama alivyokuwa myombea Ubunge Buyungu Kigoma na Sasa Ukonga..,...
Sent using Jamii Forums mobile app
dada asia atosha ukonga Hatutaki tena kupereka walevi bungeniMwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa kampeni za Ubunge Jimbo la Ukonga unadhisha kuwa wananchi kwa muda mwingi wamekosa mikikimikiki ya wanasiasa majukwaani, lakini pia unatoa picha kuwa wananchi wameondoka kuwa bendera fuata upepo na kubaki kuwa madhubuti katika harakati za mageuzi ya mifumo nchini.
Kwa mtindo huu 2020 wale jamaa wakubebwa wanaweza kupata tabu sana endapo vyama kinzani vitaendelea kutuletea damu changa Kama alivyokuwa myombea Ubunge Buyungu Kigoma na Sasa Ukonga..,...
Sent using Jamii Forums mobile app
dada asia atosha ukonga Hatutaki tena kupereka walevi bungeni
Huyu Kama umuonavyo ananolewa aje kuwa au zaidi ya mdee matiko bulaya peneza nk..nimeziona kampeni.
..tatizo wapiga debe wanazungumza muda mrefu, saa moja na nusu, halafu mgombea anapewa dakika 3.
..Nimesikitishwa na kitendo alichofanyiwa Asia Msangi na wapiga debe wake.
..Pia Asia Msangi anatakiwa ajinoe zaidi kuwa na campaign speech inayovutia na kutia hamasa zaidi.
Ya Lowasa yanajirudia.?..nimeziona kampeni.
..tatizo wapiga debe wanazungumza muda mrefu, saa moja na nusu, halafu mgombea anapewa dakika 3.
..Nimesikitishwa na kitendo alichofanyiwa Asia Msangi na wapiga debe wake.
..Pia Asia Msangi anatakiwa ajinoe zaidi kuwa na campaign speech inayovutia na kutia hamasa zaidi.
Bila shaka wamekuelewa Mkuu!..tatizo ni kutotambua waseme nini kwa wakati gani.
..badala ya kumnadi na kumpamba mgombe wao wanazungumza magomvi yao na Waitara.
..wamempotezea huyo mama muda wake wa kampeni.
..hata ukiangalia clip iliyorushwa unaona mgombea alikuwa na hamu ya kuzungumza lakini Salim Mwalimu alikuwa anapoteza muda jukwaani.
Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa kampeni za Ubunge Jimbo la Ukonga unadhisha kuwa wananchi kwa muda mwingi wamekosa mikikimikiki ya wanasiasa majukwaani, lakini pia unatoa picha kuwa wananchi wameondoka kuwa bendera fuata upepo na kubaki kuwa madhubuti katika harakati za mageuzi ya mifumo nchini.
Kwa mtindo huu 2020 wale jamaa wakubebwa wanaweza kupata tabu sana endapo vyama kinzani vitaendelea kutuletea damu changa Kama alivyokuwa myombea Ubunge Buyungu Kigoma na Sasa Ukonga..,...
Sent using Jamii Forums mobile app
She is intelligent maana Waitara anarudi bungeni asubuhi na mapema..nimeziona kampeni.
..tatizo wapiga debe wanazungumza muda mrefu, saa moja na nusu, halafu mgombea anapewa dakika 3.
..Nimesikitishwa na kitendo alichofanyiwa Asia Msangi na wapiga debe wake.
..Pia Asia Msangi anatakiwa ajinoe zaidi kuwa na campaign speech inayovutia na kutia hamasa zaidi.
yes nilipita kwa sehem nikawakuta wakina mama wamepamba moto yaan kelele ni weitala weitala nikasema yamekuwa haya tena kwa akina mama hapa UKAWA watapata tabu sana.....ila yasije kuwa ya kigamboni 2She is intelligent maana Waitara anarudi bungeni asubuhi na mapema
By hooks and crooked lazima Waitara arudi mjengoniyes nilipita kwa sehem nikawakuta wakina mama wamepamba moto yaan kelele ni weitala weitala nikasema yamekuwa haya tena kwa akina mama hapa UKAWA watapata tabu sana.....ila yasije kuwa ya kigamboni 2
Sent using Jamii Forums mobile app